Watanzania michezo ya kushiriki mtu mmoja mmoja ndo fani yetu, kama boxing na marathon. Ila hii serikali inahangaika kuinua mpira kitu ambacho hata tuweze bilioni ngapi kombe la dunia hatulinusi....
Wakimbiaji wakenya wanailetea sifa nnchi yao ni jamii ya kimasai ambayo jamii hiyo na sisi huku Tanzania tunayo ila kosa letu sisi ni huwa hatuwaendelezi...
Mungu ibariki Tanzania..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.