Tanzania haiwezi kuendelea hata baada ya miaka 50 kwa sababu.....

Dhuluma za CCM leo zina mwisho.
Hata wakoloni walitufanyia mambo mengi at the end waliondoka.
Tushikamaneili tuweze kumuondoa huyu mkoloni (CCM)
 
Hayo yote uliyoyaandika yanapatikana peoni tu. Si Tanzania wala si hapa duniani!

Niambie ni nchi ipi ambayo haina malalamiko ya wananchi? kama si hili, lile!

Gadafi aliyewafanyia kila jema wananchi wake na wapo wanaompinga, Hata Yesu (AS) kuna waliempinga, Muhammad (SAW) hali kadhalika.

Kaishi peponi.
 
Nchi ya kitu kidoooogo! Ni nchi ya watu wadoooogo!

Kila siku shida shida haiishi mpaka siku ya mwisho...
 
Back
Top Bottom