Mtaje mmoja aliyewahi sema hivyoMbuzi zamani walikuwa hawana mchungaji, kuna wapuuzi eti waliwahi kumuambia rais aliyechaguliwa kihalali kuwa watafanya nchi isitawalike. Sasa hivi wanachungwa na kuchungika wakitoka nje ya mstari ni viboko. Heshima imekaa mahala pake.