Tanzania chini ya Rais Magufuli itaimarika kiuchumi, kidemokrasia na Utawala Bora

Wewe yanakuumizia nini? UKAWA bwana, agenda yenu hivi sasa ni ipi?
Nani kakwambia mimi ni UKAWA. Mimi ni raia hasiye na mfungamano wa upande wowote bali mwananchi na mzalendo mwenye kuipenda nchi yangu na kila nikilala na kuamka natamani iwe nchi kama ya Kanani
 
Magufuli hapendwi na kakikundi ka watu wachache sana ambako hapo awali kalifikiri kanaweza kushika madaraka ili kuendelea kutumbua rasilimali za nchi
Hakuna mtu mchwa mroho na mraji wa kijinga kama Magufuli na the so called group mpya ya ulaji from kanda ya ziwa walaji wa CCM wanatesa kwa zamu ndio maana ni raisi wa kwanza kuwa na approval rate chini ya 10% in only second year of his presidency
 
Waliozoea vya kunyonga ndo wamebaki wanamlaumu JPM
endelea kuposti na kuji jibu lakini Magufuli kwa scale za maraisi wa Tanzania yeye ni zero aisee when it comes to rule of law,vission and accomplishment unajiuliza alisoma wapi huyu wakati wengine woe at least they were not ashamed like this guy
 
Umesoma ripoti ya IMF kuhusu uchumi wa Tanzania? Mpaka wawekezaji hawana uhakika na sera za Magufuli yaani kila siku mambo mapya.
 
nonsense-clipart-diraBKei9.jpeg
 
Ndio nchi pekee kiongozi anaweza ingia na askari studio na kulazimisha habari zake kutangazwa,huni kumnyoshea silaha kiongozi na isiwe kesi,ni nchi ruksa kufoji vyeti na unapata mbeleko ya rais
 
WEZI, WA UZA MADAWA, WALIOKATAA SHULE, WAMBEYA, WAMAJUNGU, WAZEE WA MJINI WAKUUNGAUNGA (MAPEDESHEE) WAJINGA WA KUFIKILI, WASIOKUWA NA UWEZO WA KUFIKILIA, WANAOWEKA NDUGU ZAO MADARAKANI NA WATOTO WAO WAKATI WAO UMEKWISHA...HAPA KAZI TU NA NENDA SHULE....
 
Hakika Mkuu. JPM atabaki kuwa Rais wa Tanzania milele
Huwa sielewi sometimes unakuwa kama msomi, mwelewa ila sometimes unakuwa kama unajipendekeza, tena sometimes unakuwa kama mwehu.
Sasa hiki unaandika huku ukijua hakiwezekani kiKatiba, nikuweke kundi gani kati hayo hapo juu?
 
Kwenye kabila letu tuna njia mbili ya kumfikishia mfalme taarifa. Zakufarahisha huplekwa moja kwa moja. Zisizomfurahishwa himika reverse order

Lisabon umetumia ipi?
 
Back
Top Bottom