Link tafadhali... :A S-coffee:
je suala la white magic na black magic linasimama wapi katika hili?
Pia watu kama illuminati inasemekana ni matajiri sana na niwashirikina sasa sijui inakuwa vipi hapo?
Link tafadhali... :A S-coffee:
Link tafadhali... :A S-coffee:
Kutokana na research zao katika nsi zaidi ya 50 wamegundua hivo. Ikiwa nchi iko stable, government inasaidia wananchi wake na watu ni wasomi, wana financial stability na wana uwezo wa kupanga lengo za maisha yao na uhakika wa kuzifikia, watu hua hawaamini katika Mungu, miungu, shetani, mapepo na wachawi na kadhalika. Lazima kusoma kitabu ndio uelewa methods zake. kuna data nyingi sana humo ndani.Kwahiyo study inasema kama mtu anajiamini hawezi kuamini katika mungu wala shetani?
Thanks. Katika thread hiyo pia kuna member kafanya correlation kati ya ushirikina na umasikini:
Come on! Ndio maana hatuendelei. People take these things literally. I think conventional religion pushes people to also believe in these other forms of spiritual juju. Jesus back before we are dead? The Golden-age of the caliphate? Are you people insane! Even the pilgrims believed that theres was a time when the world would end bla bla bla.. earthquakes? is that a sign..lol People are just insane and believe anything.
Ndio maana ata matatizo ya umeme, umaskini etc hatuwezi yamaliza.. people being so naive, believe the world will end in the next 20 years... How can we plan for 2050 or 2100. Ndio wazungu nwanapotupiga bao. Religion F***ed Africa.
Thanks. Katika thread hiyo pia kuna member kafanya correlation kati ya ushirikina na umasikini:
sometimess unapata mawazo bora tuwe na ma atheists wengi kuliko wachamungu ...lol
maana unawaokoa watu kutoka kwa waganga wa kienyeji only to lose them to 'conmen' in the churches.....
"When missionaries came to South Africa, we had the land, they had the Bible. Then they told us, 'Let's close our eyes and pray.' When we opened our eyes we saw that we have the Bible, they have the land." Desmond Tutu
Asanteni wote mliochangia mada yetu hii..
Kuna watu wanafanya cocktail - wanachanganya "Mungu" na "Sangoma".Unakuta mtu anaswali sala 5 au anakesha kanisani.Ukimpekua unakuta kasheheni hirizi hadi nyingine zinapumua utadhani ni moyo uko kwenye hiyo hirizi lol! Kibaya zaidi mtu anaweza hata kufanya extremes - kutoa kafara mtoto au mke - sijasikia mume lol.... inakuwaje?
Mi nadhani swala nzima la imani halijaeleweka vizuri huku kwetu. we have embraced things kwa kuogopa kuuzwa kama watumwa (waarabu) au viboko vya mkoloni. Ila imani yenyewe hatukuielewa...
Halafu hata tukirudi huko nyuma, watu hawakua walokole. Waliamini kuna mababu, mizimu na mizula etc, ila waliishi maisha yao ya kawaida (kuvua, kulima, kufuga, kuwinda, kuuza na kununua, kupigana vita etc) and ressorted to them only pakiwa na shida.
Sasa inakuaje leo watu hawataki kufanya kazi eti wanamtegemea Mungu tu au wanategemea ushirikina?
Haiingii...:noidea:
Ofisi zinazoongoza kwa ushirikina Bandari,Trc,Idara ya Mahakama,wizara ya maji,Halmashauri zote,
Tanzania ni special case aisee kwenye ushirikina..
mtu ni msomi wa Harvard na ni mshiriikina...
wasomi wa TZ ni wa aina yake....
hivi ushirikina unasababisha umasikini au umasikini unapelekea watu kuwa washirikina?????
kweli kabisa ushirikina upo sana kwenye ofisi za serikali,unakuta mtu msomi mzuri lakini hafanyi kazi bila kwenda kwa sangoma,
Kuna jamaa yangu anatoka Kenya aliniambia ili mganga wa kienyeji apate soko huko ni lazima aandike kuwa anatoka Tanzania. Ndio maaana watanzania wengi wavivu lakini wanataka mafanikio ya chap chap.Kimsingi wanatapeliwa tu. make kama uganga unalipa basi house girl agombee na ashinde ubunge.
Hilo ndilo swali la kujiuliza!Ninachoka kabisa kusikia baadhi ya viongozi na hata wafanyabiashara wakubwa hawafanyi lolote bila ushauri wa waganga. Tunataka kujenga nchi ya aina gani?
Tuseme ushirikina ni tatizo la jamii yenyewe ya Wabongo? au tuseme ndio utamaduni uliotulea? Kwa waliokulia vijijini na kuja mjini kwa ajili ya shule na kutafuta ajira tutachukulia kuwa ni utamaduni uliowalea, vipi hawa vijanaq wetu wa Dotcom, nao wanaendekeza haya?
|
T
Mara nyingi tunasikia pesa kiasi kikubwa zilitumika katika "kamati za ufundi" -Hawa ndio usiseme.Wengine huolewa na waganga wa kienyeji.Mnamkumbuka Nora wa Kaole aliyeolewa na Mganga? Mwingine wa Kaole group huyu:hasa kwenye michezo.Wasanii wa kizazi kipya nao wanatuhumiwa kwa ushirikina.
https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/223432-staa-kaole-afumwa-makaburini-usiku-wa-manane.html
This is so sad kwa kweli... inaua initiatives.T
Mara nyingi tunasikia pesa kiasi kikubwa zilitumika katika "kamati za ufundi" -
Hawa ndio usiseme.Wengine huolewa na waganga wa kienyeji.Mnamkumbuka Nora wa Kaole aliyeolewa na Mganga? Mwingine wa Kaole group huyu:
https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/223432-staa-kaole-afumwa-makaburini-usiku-wa-manane.html