Kuna uwezekano wa Tanzania bara kuwa na Uongozi wa Mseto kama wa Tanzania Visiwani kabla ya 2015?Swali hili nawauliza wanaJF kwa kuwa leo nimeshuhudia Wabunge wote wakiunga mkono hoja ya Zitto kuhusu Jairo.
Sasa kwa muendelezo huu na Serikali inavyozidi kuvurunda si kuna uwezekano wa kupigwa kura ya kutokuwa na imani na Serikali na hivyo uchaguzi kufanyika kabla ya 2015?
Naomba mchango wenu.
Sasa kwa muendelezo huu na Serikali inavyozidi kuvurunda si kuna uwezekano wa kupigwa kura ya kutokuwa na imani na Serikali na hivyo uchaguzi kufanyika kabla ya 2015?
Naomba mchango wenu.