Tanzania: A United Republic of Blah Blah Blah!

It bites us now...we have become inventors of the sweet words and themes with no value addition. Na kiila tunapoleta neno jipya tunakusanyana uwanja wa Taifa na sehemu nyingine kusheherekea uzinduzi wa "blah blah zetu".
 
Yes! I have said it and I am stating it again, we are Republic of Blah Blah Blah!

Mimi tatizo langu lipo kwenye "of", kwani this term expresses possession or connection; i dont see watanzania wengi kuwa in possession or in connection with this country, in any meaningful sense, especially wale wa vijijini (over 30 million people). Tuanze upya chini ya katiba yetu mpya.
 
Mwono wangu kuhusu neno kubwa la mada hii. Naona pande mbili za heading hiyo.


(a) Hakuna nchi inayoitwa Tanzania: Kuna United Republic of Tanzania.

Kwa hiyo huenda mchungaji anatukumbusha kuwa tusiseme Tanzania bali tuweke bayana kuwa ni United Republic of ... na kuendelea- bl;ah blah- utajaza mwenyewe. Nadhani hapa jibu ni rahisi tu, kila matu anaweza kuwa na lake lakini yote ni kutaka kufupisha jina. Ndiyo Maana nchi kama United States of America hujiita US au America.

(b)Tanzania ni jina ambalo hutumika kama kifupi cha United Republic of Tanzania inayoundwa na au kwa Tanzania ni blah blah tu.

Hapa kuna maswali wawili yenye kuweza kuwa majibu mengi sana tofauti.

(1) Je hicho kinachoitwa United Republic hakipo kwa vile hakuna union yoyote baina ya Tanganyika na Zanzibar?
(2) Je hicho kinachoitwa United Republic hakina jambo lolote ndani yake bali blah blah tu? yaani hakuna watu wala raslimali za asili.
 
Well it is a matter of digging down and find out why we are Blah Blah Blah? Is it possible the other sie of the coin is les Blah Blah Blah?
 
Mchungaji, karibu sana! Tutaachaje kuwa UR- Blah Blah Blah!! Wakati wananchi wake tu wasahaulifu kupita STD rate!! Uliza leo kama kweli watu walipona kwa Babu Samunge mwaka jana!! Majibu utakayopata nina uhakika yatakuwa mengi kiasi cha kuandikia research paper!!

Hivi kuna STD rate ya kusahau eeh...?
 
Back
Top Bottom