DOKEZO TANROADS Ubungo na NEMC, Nani amemruhusu Diwani huyu kukata miti eneo la Kwa Msuguli na kutuachia Jangwa?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Diwani wa CCM anakata miti mikubwa iliyopandwa muda mrefu na kutunzwa Kwa muda mrefu Kwa gharama kubwa anakata na kuuzia shule binafsi DC UBUNGO yupo ofisini, TANROAD na NEMC mpompo tu

Kwa niaba ya wakazi wa UBUNGO hususani eneo temboni Kwa msuguli kata ya Msingwa tunawataka NEMC na TANROAD UBUNGO wamkamate Diwani wa CCM Msingwa na chawawa wake Kwa kosa la kukata miti na kuuzia shule binafsi na kutuacha na Jangwa.

Kwenye round about ya kuelekea BOSCH hospital miti yote mikubwa imekatwa na kukatwa katwa na kuuzwa Kwa shule binafsi na kuwacha abilia na wafanya biashara ndogo ndogo kukaa kwenye jua na kuharibu madhari ya eneo husika.

USSR
 
Diwani wa CCM anakata miti mikubwa iliyopandwa muda mrefu na kutunzwa Kwa muda mrefu Kwa gharama kubwa anakata na kuuzia shule binafsi DC UBUNGO yupo ofisini , TANROAD na NEMC mpompo tu

Kwa niaba ya wakazi wa UBUNGO hususani eneo temboni Kwa msuguli kata ya Msingwa tunawataka NEMC na TANROAD UBUNGO wamkamate Diwani wa CCM Msingwa na chawawa wake Kwa kosa la kukata miti na kuuzia shule binafsi na kutuacha na Jangwa.

Kwenye round about ya kuelekea BOSCH hospital miti yote mikubwa imekatwa na kukatwa katwa na kuuzwa Kwa shule binafsi na kuwacha abilia na wafanya biashara ndogo ndogo kukaa kwenye jua na kuharibu madhari ya eneo husika.

USSR
Picha ya eneo husika ingesaidia kupata hali halisi na nini tushauri kuhusu hilo. Inawezekana hiyo miti imekomaa na ni wakati wake sahihi wa kuvunwa
 
Inatakiwa iwepo au itungwe sheria ya kupiga marufuku kukata mti au miti yeyote ile katika mkoa wa Dar-Es-Salaam yenye muongo miwili na kuendelea.

Katika Dunia hii ya leo ni muhimu tukazingatia mazingira tunayoishi (ecosystems) na kufanyia kazi, ni wazi kuna watu wamefumbia macho mifumo hiyo ya ekolojia.

Mifumo ya ekolojia(ecosystems), kwa mujibu wa vyanzo vya wanamazingira, ni eneo au maeneo ya kijiografia ambapo mimea, wanyama, na viumbe vingine, pamoja na hali ya hewa na mazingira, hufanya kazi pamoja kuunda mkanda wa maisha. Kushindwa kulinda mazingira hayo ni kujitafutia maafa yanayo epukika. Tayari sasa watu wanakaa juani na itoshe kusema, itaenda kuwanyima nafasi hao wanafunzi kupata maeneo ya kupumzika, vilevile kuongeza gharama za uendeshaji, kwa kutumia nishati kubwa, for instance, kutumia au kuwasha viyoyezi kwa muda mrefu ili kupunguza joto hapo shuleni.

Lazima tufike sehemu tukaheshimu na kuenzi na kuhifadhi mifumo hiyo.

Ashurutishwe apande miti mara tatu yake katika eneo hilo mara moja ili kuhifadhi mazingira hayo.
 
Diwani wa CCM anakata miti mikubwa iliyopandwa muda mrefu na kutunzwa Kwa muda mrefu Kwa gharama kubwa anakata na kuuzia shule binafsi DC UBUNGO yupo ofisini, TANROAD na NEMC mpompo tu

Kwa niaba ya wakazi wa UBUNGO hususani eneo temboni Kwa msuguli kata ya Msingwa tunawataka NEMC na TANROAD UBUNGO wamkamate Diwani wa CCM Msingwa na chawawa wake Kwa kosa la kukata miti na kuuzia shule binafsi na kutuacha na Jangwa.

Kwenye round about ya kuelekea BOSCH hospital miti yote mikubwa imekatwa na kukatwa katwa na kuuzwa Kwa shule binafsi na kuwacha abilia na wafanya biashara ndogo ndogo kukaa kwenye jua na kuharibu madhari ya eneo husika.

USSR
Diwani anakula kwa urefu wa kamba yake🤣 huyu diwani ni yupi ni Mh. Malata?
 
Kwenye round about ya kuelekea BOSCH hospital miti yote mikubwa imekatwa na kukatwa katwa na kuuzwa Kwa shule binafsi na kuwacha abilia na wafanya biashara ndogo ndogo kukaa kwenye jua na kuharibu madhari ya eneo husika.
Kumbe nae kaazisha "dipii wedi" yake!
hao ndio ccm a.k.a. uzauza
 
Diwani wa CCM anakata miti mikubwa iliyopandwa muda mrefu na kutunzwa Kwa muda mrefu Kwa gharama kubwa anakata na kuuzia shule binafsi DC UBUNGO yupo ofisini, TANROAD na NEMC mpompo tu

Kwa niaba ya wakazi wa UBUNGO hususani eneo temboni Kwa msuguli kata ya Msingwa tunawataka NEMC na TANROAD UBUNGO wamkamate Diwani wa CCM Msingwa na chawawa wake Kwa kosa la kukata miti na kuuzia shule binafsi na kutuacha na Jangwa.

Kwenye round about ya kuelekea BOSCH hospital miti yote mikubwa imekatwa na kukatwa katwa na kuuzwa Kwa shule binafsi na kuwacha abilia na wafanya biashara ndogo ndogo kukaa kwenye jua na kuharibu madhari ya eneo husika.

USSR
Huyo ni chawa hawezi kuguguswa
 
Back
Top Bottom