TANIL SOMAIYA: Kutoka kuuza project maofisini, BAE na kumiliki SHIVACOM

Tungaraza Jr

Senior Member
Feb 3, 2012
196
48
Huyu ni kijana wa Mwanza kama sijakosea na alianza maisha kwa kutengeneza PROJECTS huku akisaka wahisani kuzifund projects hizo. Mjini shule ninajiuliza alidaka vipi mchongo wa BAE? Kanunua ULTIMATE SECURITY na SHIVACOM kwa hela ile ya serikali na ndio super dealer wa IVECO Tanzania.

Kwa kupitia ushawishi wake serikalini kampuni yake inayojihusisha na usambazaji wa IVECO kwa Tanzania alikula shavu/tender ya kuiuzia serikali magali ya wagonjwa yapatayo 20 na zaidi kwa pesa za kimarekani $ 220,000. Nimejaribu kumpekuapekua kuleta mantiki ya kile nikisemacho.....

Karibuni JAMVINI......!

Those who said the sun never set on the British Empire are right!

In 2001, Tanzania signed a single-sourced $40m contract with a British arms supplier BAE Systems (British Aerospace Limited). In this deal, BAE was to supply Tanzania with an Air Traffic Control (ATC) system to serve the country’s eight -yes only 8- military aircraft!

The ATC system in question was described by the United Nation’s International Civil Aviation Organisation (ICAO) as being a dated technology. The agency said that upgrading the system to meet civil aviation demands would cost Tanzanians millions of dollars. The agency further argued that Tanzania’s needs would have been met with a $5m to $7m civil aviation system.

What is interesting is that the deal was pushed by none other than UK Prime Minister Tony Blair. Blair’s argument was that the deal was good for the UK because it would protect 250 British jobs on the Isle of Wight that were at stake! (Who gives a damn about Tanzania Wanjiku who has to go to bed on an empty stomach to make such a purchase!)

Even more interesting is the revelation by a Tanzanian middleman Sailesh Vithlani that BAE paid him $12m (30% of the contractual amount) through a Swiss bank. The payment was done through Red Diamond Trading –one of BAE’s covert offshore companies registered in the British Virgin Islands. Red Diamond is the same outfit alleged to have given a Sterling pound 1M to the late Chilean dictator Pinochet.

Vithlani’s business buddy Tanil Somaiya (no relation to Ketan Somaia) collaborated the bribery allegation saying that they (Somaiya and Vithlani) were paid 1% of the contractual amount to make sure the deal was signed and awarded to Vithlani’s Merlin International.​





tanil+somaiya.jpg
Tanil Somaiya Left Donating bikes to Tanzanian Police
The World Bank and IMF refused to extend a loan to Tanzania for this purchase claiming that it was waste of resources. This however did not stop the deal. The UK’s Barclays Bank stepped in and finance it at interest rates that were much higher than those charged by the Bretton Woods institutions. In the end Tanzanians were left with a huge bill stemming from the UK’s quest to create less than 300 jobs for Britons.

Politicians will always be politicians. In this case, there was more to the storyline than securing 250 jobs. Did the kickback extend to individuals in the UK? Vithlani has no comment because the most likely answer is yes. The zeal by which Blair pushed for the deal suggests that money may have changed hands. This will not be the first time that an East African has dished out money to UK politicians.

tanil+somaiya2.gif
Proprietor of Shivacom Tanil Somaiya (Center) presenting an award to Miss Tanzania
During the Goldenberg proceedings, we learnt of the cozy relationship Ketan Somaia has with UK politicians. We were treated to juicy stories about Pattni’s trip to the UK where he attended a Tory fundraiser. Pattni and Somaia were privileged to share a table with former Conservative Party chief and Cabinet minister Lord Cecil Parkinson at the Tory Winter Ball. Pattni didn’t fail to brag about mingling with the likes of Mark Thatcher –the arms dealing son of Margaret Thatcher.

To cap it all, we learnt that upon retirement, Lord Parkinson became the chairman of Somaia’s offshore company, Dolphin Group the mother company of the collapsed Delphis Bank. Lord Parkinson also served as Kamani’s envoy to South Africa as to promote Kamani’s controversial 25-year monopoly in the development of Mpumalanga Game Park of South Africa.

The two Tanzanians in this mess have been linked to many other corruption scandals in Tanzania’s defense contracts. These crooks continue to travel in and out of the UK as they will. The UK’s seems to have a traditional stand of protecting companies and individuals who are plundering Africa. The Pattnis, the Kamanis, the Somaias and now the Vithlanis have a safe heaven in the UK. This reminds me of the colonial era companies like the British East Africa Co. that owned East Africa and plundered it with full support of the UK.

The UK doesn’t seem to mind about corruption as long as the proceeds benefit her and her politicians. For this reason economic hitmen are treated like loyalty while relatively smalltime thieves like neo-colonial Paramount Chief Murungaru are prohibited from stepping on the English soil. After all the UK has to hoodwink us to see them as protectors and not perpetuators of corruption. What the heck! Fry one Murungaru and Africans will sing God Save the Queen.

In this setting, our leaders come out as colonial paramount chiefs who sold their people and land for a blanket and a mirror. And we say we are independent countries!

TANIL SOMAIYA anaonekana kua na mtandao kutoka katika mizizi ya ile RADER ya kuangalia wanyama wanaotoshwa Tanzania kuelekea ughaibuni kama jinsi IMF,SFO na WORLD BANK zinavyohoji ualakini na kununua rader ile. Tafadhali patakiambatanisho kuhusu Tanil na BAE katika kiambatanisho hapa kama PDF FILE...
 
http://allafrica.com/stories/200804281397.html


Dar es Salaam - In a new twist, a top businessman in Tanzania, Mr. Tanil Somaiya who is at the centre of controversy in relation to allegations of his involvement in recent scandals in Tanzania, has broken his silence saying that he has "never done any business with the government."
Speaking on phone with EastAfrican Business Week in a country he did not like to mention last week, Somaiya said that he was surprised to hear that he has severally been implicated in the scandals involving the presidential jet, military radar, supplying of military trucks and helicopters to Tanzania.
 
Humjui Tanil wewe unawafahamu Somaiya Group? hiyo Shivacom mbona anayo siku nyingi tu.
 
Tuache uvivu wa kufikiri jamani, mtu akiona fursa mahali akae kimya?
Kama alikua na uwezo wakuandika miradi na kuitafutia wahisani hauoni uwanja wa fikra zake ni mpana na ni mtu aliyekua na ndoto, tangu akiwa mhasibu IPP, mpaka amekuja kuwafunga Vodacom goli la kisigino na vocha za ShivaJero, kuinunua altimate, kuwa dealer wa IVEKO.... acheni watu wafanye kazi bwana.
 
...ukichukulia pia kwamba watawala wetu wana ugonjwa wa kutetemekea Ngozi nyeupe!
 
Boflo una urafiki na watu wa mombasa waarabu hahahahaaaaaaa!
Tanil katokea Mwanza, kazaliwa huko... Anapenda sana kucheza
Texas poker, na mm ndio game yangu, huyu jamaa ukikaa
naye huwezi amini jinsi alivyo na watu wanavyo muongelea.... Nyani Ngabu ukija tena tutaenda pale
 
Last edited by a moderator:
Tanil katokea Mwanza, kazaliwa huko... Anapenda sana kucheza
Texas poker, na mm ndio game yangu, huyu jamaa ukikaa
naye huwezi amini jinsi alivyo na watu wanavyo muongelea.... Nyani Ngabu ukija tena tutaenda pale

hizo sifa si za watu mwanza,hata ukiwauliza maana ya texas porker utazunguka mji mzima na unaweze kosa jibu.
Jamaa ni muhindi tu kama wahindi wengine tu labda kama kuna misaada huwa unaitoa kuiendeleza mwanza zaidi ya kubet ndio ntautilia umakini umwanza wake.
 
Last edited by a moderator:
hizo sifa si za watu mwanza,hata ukiwauliza maana ya texas porker utazunguka mji mzima na unaweze kosa jibu.
Jamaa ni muhindi tu kama wahindi wengine tu labda kama kuna misaada huwa unaitoa kuiendeleza mwanza zaidi ya kubet ndio ntautilia umakini umwanza wake.

Huyo kazaliwa mwanza mtaa w nkrumah ila hajawahi saidia ki2 chochote n ndugu zake wote wamehama mwanza miaka wko dar,ni mpigaji mzuri sana utawala w mkapa alipewa dili nyingi hewa ndio akatoka kimaisha.hata lile jizi lingine jitu patel nalo la mwanza tena katokea poor family nae kapata hela utawala w mkapa kwa kupitishiawa hela kwenye kampuni zke,

So 10% zimewatoa bila kutumia hata mia yao huyo tanil n jitu hawakua n mitaji
 
Tuache uvivu wa kufikiri jamani, mtu akiona fursa mahali akae kimya?
Kama alikua na uwezo wakuandika miradi na kuitafutia wahisani hauoni uwanja wa fikra zake ni mpana na ni mtu aliyekua na ndoto, tangu akiwa mhasibu IPP, mpaka amekuja kuwafunga Vodacom goli la kisigino na vocha za ShivaJero, kuinunua altimate, kuwa dealer wa IVEKO.... acheni watu wafanye kazi bwana.
bomu la shiva jero tayari limeshalipuka.
 
Back
Top Bottom