TANGAZO: Mkutano mkuu wa wazi wa CHADEMA hapa JamiiForums

Mimi nimeudhuria, ingawa sio mwanachama wa chadema na sio mwananchama wa chama chochote nimekuja kusikiliza
 
hii mada ninzuri sana kwa manufaa ya chadema, tafadhali, tuchague viongozi wa kuendesha na kusimima mawasiliano kati ya wajumbe.
 
Poleni kwa kukosa "dira". Mimi nawashauri muungane na Rais katika mapambano ya ufisadi ili angalau 2025 tuwafikirie kidogo. Ushauri mwingine, 2020 msihangaike wala msipoteze muda kugombea kiti cha urais maana Magufuli tunamhitaji sana mpaka 2025. Nawasilisha hoja ndugu Mwenyekiti.
Ooooops.! Nimesahau, msiache kujadili nafasi ya mwenyekiti, hivi haina ukomo?? Mwenyekiti wenu ana tofauti gani na Museveni au Robert Mugabe???
 
Suala la uchaguzi wa Mwenyekiti wa taifa, na mahitaji ya kuwa na uongozi mbdala wa chadema kupitia mfumo wa electronic liwepo kama agenda muhimu kwa leo.
 
7. pia ajenda ingineiongezwe pia ya utendaji kazi wa baadhi pia wa wabunge wa kuchaguliwa pamoja na hawa wq viti maalum ktk kutuongoza ktk maandalizi ya 2020
 
Back
Top Bottom