Tangazo la kazi -Jaribu bahati yako.

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
May 30, 2008
5,457
956
Regional Manager Uwezo
Promoting Learning in East Africa

Uwezo is an innovative, citizen-centered initiative to promote learning in East Africa. The initiative is based on a successful approach in India (see www.asercentre.org). The approach assesses the actual competencies of school age children. Uwezo seeks a highly motivated, creative and organized individual to coordinate the effort and ensure its overall success. The post is hosted within Hivos/Twaweza and based in Nairobi or Dar es Salaam. The successful candidate will receive a competitive package and work in a challenging learning environment.

Major Responsibilities
· Provide overall strategic direction and management.
· Manage planning, budgets, implementation and reporting; support and oversee national efforts.
· Develop and manage communications strategy for Uwezo.
· Represent Uwezo at regional and international levels, including with the media and governments.

Minimum Qualifications
· An advanced (masters) degree in a relevant field.
· Good knowledge of education issues in East African and dynamics of social change.
· Minimum of 5 years management experience.
· Experience in planning, monitoring, accounting and budgeting, and fundraising.
· Well organized and able to deliver quality results on time.
· Excellent writing and communication skills (in both English and Kiswahili).

Qualified applicants should apply electronically to jobs@tmf.or.tz with ‘Uwezo RM’ in the subject line and include ALL of the following: a) cover letter stating motivation and salary expectations, b) resume/CV with full contact details, c) two samples of articles or reports the candidate has written in the past 5 years, and d) names of 2-3 professional references. Women, young people and people with disabilities are particularly encouraged to apply.
Application Deadline: 26th June 2009
 
Hiyo Kampuni ina coverage gani worlwide?????
Na hiyo competitive package inayozungumziwa iwe wazi wadau, maana hayo ni maeneo ambayo mlengwa anatakiwa kujiridhisha kabla ya kuomba hiyo kazi........
 
1.Ukiwa unahitaji kazi hii, omba na ukiitwa kwenye usaili basi ulizia na mshahara na kila kitu.

2.Ukiona una maswali mengi yasiyo na majibu basi waachie wengine wajaribu bahati zao maana hili tangazo halijasema kuwa ni complulsory kwa kila mtu.
 
Bwana asifiwe enyi mliotangaza kazi zipo mpaka sasa
Maana nina binti yangu amemaliza computer diploma atapata hizo kazi maana najaribu
 
Amen paster original,
Asante kwa kusafisha tangazo hili maana lilikuwa limeanza kuvamiwa na matusi.
Jamani,
Tujaribu kuheshimu matangazo ya kazi kuna watu wanatafuta seriously.
 
ooh jus shut your hole[/QUOT

Jamani tuache utani katika ishu za msingi kama hizi. Kazi sasa zimekuwa ngumu kupatikana... bila kujali una Elimu au ujuzi kiasi gani. Kama una-meet qualifications, ni bora kujaribu hii bahati.
 
ooh jus shut your hole[/QUOT

Jamani tuache utani katika ishu za msingi kama hizi. Kazi sasa zimekuwa ngumu kupatikana... bila kujali una Elimu au ujuzi kiasi gani. Kama una-meet qualifications, ni bora kujaribu hii bahati.

Ndugu yangu..
Kuna kipindi nilipendekeza kuwe na jukwaa maalum ambapo mtu anayejisikia kutukana na kupaaza sauti aende kule tani yake.
Inaelekea kuna watu wana a lot of steam to vent out na kwa vile hakuna pa kutolea basi popote inakuwa ruksa!
Inakatisha tamaa pale ambapo mtu unajitahidi kupeana ( share) na wengine taarifa muhimu halafu unakutana na vijimambo vya kukwaza kama hivi.Halafu utasikia watu wanalalamika oh waTz wachoyo wa taarifa! Sasa jamani jema ni lipi?Itafikia wakati mtu utaona hakuna sababu ukae na taarifa muhimu ambazo huenda zingeweza kuwa za msaada kwa wenye kuhitaji.Mimi binafsi hii ni mara ya pili nakutana na kebehi kama hizi.JAMANI ACHENI HIZO!
 
Back
Top Bottom