Tanganyika packers Kuzimia, Hii ni Baada Ya Tanga

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
Baada ya Ccm kujitahidi kubeba watu na matrekta/Mafuso dodoma kwa nia ya kuwazimisha watu lakini walichemka.

Hata wale waliotolewa Dar na masaburi wakazime nao walishindwa zoezi hilo baada ya kumtoroka
Sasa leo ni zamu ya wana Dar es salaamu kuzimia kwa hiari kwenye viwanja vya Tanganyika pekaz kawe
Mpaka sasa watu wameanza kuja eneo la tukio wakimsubiri Lowassa na tema yake wapate tiba ya mabadiliko
Watu ni wengi na wote wanaimba wimbo wa mabadilko tu.
 
Nipo njiani yaani bossi leo kasema kazi ni nusu siku ili tukamsikilize raisi mtarajiwa EL
 
Jamani nielekezeni njia rahisi ya kufika Tanganyika packers, maana naona hii jam ya leo itanichelewesha kufika kwenye tukio, nimefikia hapa Magomeni Mapipa!
 
Tunatokea mwenge hapa yani jahazi la mtu kama 50 hapa kwa nauli zetu,alipo tupooooo
 
Back
Top Bottom