Tanga: Basi la Kilimanjaro lapata ajali Mkata

Speed ya 80 kph siyo ndogo kwenye ajali. Naona utelezi au issue ya overtaking then katumbukia darajani. Ajali zipo na zitaendelwa kuwepo. Halafu leo Jumapili mabasi yanajiachiaga sana.
Huyo atakuwa kateleza tu brake zilizingua maana maji na tope
 
Kwa hili hapana. Ni Scania tena Marcopollo mkuu. Ajali ni ajali. Uzembe kidogo tu ni kasheshe. Either alikwepa mtu anaovertake au yeye mwenyewe aliovertake. Au kafunga brake za ghafla na lami imelowana na mvua
Possible brake za ghafla na utelezi gari ikahama
 
Mmh hadi dakika hii hakuna aliyeongelea kama abiria wametoka kwenye gari au bado na wenyewe wako upside down kama basi?

Inaonekana tairi zimeisha kwa mbali (kipara), mvua kubwa lami imelowana, kama kuna gari ilimwaga oil kwenye lami halafu dereva alikuwa speed tuseme alikuwa ana overtake au anakwepa kitu, speed, kuisha tairi, uterezi gari ikavutwa pembeni.....

Jamani hapo hazisikiki sauti za abiria kuomba msaada? Hata sauti za watoto wakilia?

Tuna ndugu, jamaa na marafiki wanasafiri kila leo kwenda Moshi na kurudi.... Tunaomba taarifa tafadhali kuhusu abiria hapa roho juu....
Kilimanjaro na Da r Express ni magari pendwa. Japo siku hizi kuna Marangu Coach... Ikitokea nikakosa ndege basi Marangu inahusika.
Marangu Coach ndio gari! Hao wawili Dar xpress na Kilimanjaro tupa kule washajichokea.
 
Kuna dereva humo ni ndugu yangu nampigia hapitakani kwakweli tungalipata mrejesho baada ya ajali ingalikuwa vyema sana.
 
Mbona hawatoi taarifa ?
Wamiliki wengi wa mabasi wanatabia ya kuzuia taarifa zitokanazo na ajali za kampuni zao!

Tabia ambayo si ya kiungwana hata kidogo!
 
Swala sio uzito unaochukuliwa bali usalama wa abiria, ni kawaida kwa sisi waafrika kuchukulia kilakitu poa.

Wenzetu wanaotengeneza hayo mabasi wanalipa watu hela nyingi sana kwenye design ya body kwa kuzingatia mambo ya air resistance njiani ambayo inachangia kwenye stability ya gar especially when speeding.

Sasa mtu achukue aluminum tu ajiundie body na hakuna test zozote za stability ya basi ata kwenye simulation tu halafu apakize watu na speed juu njiani hiyo sasa ni accident ambayo inasubiri muda.

Anyway mie ngoja nitoke kwenye huu mjadala maana naanza kuona hasira.

Acha inferiority complex...... hao wenzako unaowasifia si ndo wametengeneza Boeing 737 Max ambazo hazina standard pamoja na hizo sijui simulation sijui nini na juzi tu zimeua watu. Ajali inasababu nyingi sana tofauti na hizo kashfa zako na umeshaambiwa Kilimanjaro zinatumia body ya Marcopolo kwa scania sijui hizo body unazoongelea hapa zinaingiaje aisee.

Nakufahamisha hakuna body za basi zinazoundwa hovyo miaka hii mkuu. Unafikiri zile body kama za Najmunisa zilizokua zinatengenezwa jangwani bado zinatengenezwa? Mbona ni muda mrefu zilishakua banned

Hao Dar Coach na wengineo ni kampuni za kutoka nje kama unavyosisifia wewe so kwenye standard zako wame qualify.

Ungekua unajua accident ni unplanned event usingetoa hoja kama hizo na kwa muelekeo wako its better u keep your mouth shut sababu nikikuuliza ni wapi wanatengeneza body za mabasi kutumia aluminum uta aibika bure.

Asante
 
Hii tairi ni picha tu au ndio uhalisia?
Screenshot_2019-05-05-19-16-29-324_com.quoord.tapatalkpro.activity.jpeg
 
Mabasi yenyewe ambayo mengi wamiliki wanunua malori kwanza ya 7.5 tonnes yaliyotumika wanachukua chassis na kutengeneza bodi wao wenyewe halafu dereva anataka awakimbize njiani, ni kama suicide mission tu. You hope hakuna aliepoteza maisha
Hivi kuongea kote huko unayajua mabasi kweli? Hiyo Marcopolo inanunuliwa lori kwanza? Mmhh punguzeni ujuaji mwingine unawavua nguo...
 
Hivi we jamaa kwa akili yako Scania 93 au 94 inayobeba hadi tani 8.5 inashindwa vipi kubeba abiria ambao hata tani 4.5 hawafiki na mizigo yao kama tani 3 hadi 4?

Kuna mizani kila kona ili kupima gross weight ambayo ni tani 20, Makampuni ya magari makubwa biashara ya kubwa ni horse/tractor na body inatengenezwa na makampuni nyingine.

Acha dharau we jamaa ujuaji mwingi ni ujinga
Nimemshangaa sana anapoongelea kuchonga basi anahisi kuna mabasi yanazaliwa tu bila kuchongwa... Na akumbuke hapo inaonekana kabisa hiyo hiyo ni Scania Marcopolo.. Sasa sijui huku kwetu kiwanda cha kuchonga hilo bodi kimeanza lini! Ni ujuaji mwingi hadi aibu
 
Acha ujuaji wa kinafki wewe!! Hizo gari zimekuja 6 kwa pamoja mwaka juzi ni Marcopolo 94, 310hp hiyo bodi mtengenezaji ni msouth africa
jidanganye.. yard yao iko mikochen hapo... nenda hata sasa hv utakuta yapo wanaunda
 
Back
Top Bottom