Tanga: Basi la Kilimanjaro lapata ajali Mkata

Mmh hadi dakika hii hakuna aliyeongelea kama abiria wametoka kwenye gari au bado na wenyewe wako upside down kama basi?

Inaonekana tairi zimeisha kwa mbali (kipara), mvua kubwa lami imelowana, kama kuna gari ilimwaga oil kwenye lami halafu dereva alikuwa speed tuseme alikuwa ana overtake au anakwepa kitu, speed, kuisha tairi, uterezi gari ikavutwa pembeni.....

Jamani hapo hazisikiki sauti za abiria kuomba msaada? Hata sauti za watoto wakilia?

Tuna ndugu, jamaa na marafiki wanasafiri kila leo kwenda Moshi na kurudi.... Tunaomba taarifa tafadhali kuhusu abiria hapa roho juu....
Kilimanjaro na Da r Express ni magari pendwa. Japo siku hizi kuna Marangu Coach... Ikitokea nikakosa ndege basi Marangu inahusika.
 
Mabasi yenyewe ambayo mengi wamiliki wanunua malori kwanza ya 7.5 tonnes yaliyotumika wanachukua chassis na kutengeneza bodi wao wenyewe halafu dereva anataka awakimbize njiani, ni kama suicide mission tu. You hope hakuna aliepoteza maisha

Hivi we jamaa kwa akili yako Scania 93 au 94 inayobeba hadi tani 8.5 inashindwa vipi kubeba abiria ambao hata tani 4.5 hawafiki na mizigo yao kama tani 3 hadi 4?

Kuna mizani kila kona ili kupima gross weight ambayo ni tani 20, Makampuni ya magari makubwa biashara ya kubwa ni horse/tractor na body inatengenezwa na makampuni nyingine.

Acha dharau we jamaa ujuaji mwingi ni ujinga
 
wenye akili fupi watasema kafara...ni upumbav binadamu aliyekamilika kuwa na fikra hizo....poleni sana wote mliopatwa na ajali hiyo...mungu awapiganie
 
Mmh hadi dakika hii hakuna aliyeongelea kama abiria wametoka kwenye gari au bado na wenyewe wako upside down kama basi?

Inaonekana tairi zimeisha kwa mbali (kipara), mvua kubwa lami imelowana, kama kuna gari ilimwaga oil kwenye lami halafu dereva alikuwa speed tuseme alikuwa ana overtake au anakwepa kitu, speed, kuisha tairi, uterezi gari ikavutwa pembeni.....

Jamani hapo hazisikiki sauti za abiria kuomba msaada? Hata sauti za watoto wakilia?

Tuna ndugu, jamaa na marafiki wanasafiri kila leo kwenda Moshi na kurudi.... Tunaomba taarifa tafadhali kuhusu abiria hapa roho juu....
Kilimanjaro na Da r Express ni magari pendwa. Japo siku hizi kuna Marangu Coach... Ikitokea nikakosa ndege basi Marangu inahusika.

My sister alikua kweny basi la nyuma yake wamepita Eneo la ajali muda si mref..taarifa za awali kuna majeruhi including dereva alilaliwa na basi wameshamtoa lakini..pia kuna mtoto mchanga kafariki
 
Hivi we jamaa kwa akili yako Scania 93 au 94 inayobeba hadi tani 8.5 inashindwa vipi kubeba abiria ambao hata tani 4.5 hawafiki na mizigo yao kama tani 3 hadi 4?

Kuna mizani kila kona ili kupima gross weight ambayo ni tani 20, Makampuni ya magari makubwa biashara ya kubwa ni horse/tractor na body inatengenezwa na makampuni nyingine.

Acha dharau we jamaa ujuaji mwingi ni ujinga
Swala sio uzito unaochukuliwa bali usalama wa abiria, ni kawaida kwa sisi waafrika kuchukulia kilakitu poa.

Wenzetu wanaotengeneza hayo mabasi wanalipa watu hela nyingi sana kwenye design ya body kwa kuzingatia mambo ya air resistance njiani ambayo inachangia kwenye stability ya gar especially when speeding.

Sasa mtu achukue aluminum tu ajiundie body na hakuna test zozote za stability ya basi ata kwenye simulation tu halafu apakize watu na speed juu njiani hiyo sasa ni accident ambayo inasubiri muda.

Anyway mie ngoja nitoke kwenye huu mjadala maana naanza kuona hasira.
 
My sister alikua kweny basi la nyuma yake wamepita Eneo la ajali muda si mref..taarifa za awali kuna majeruhi including dereva alilaliwa na basi wameshamtoa lakini..pia kuna mtoto mchanga kafariki

Ooh my... May the soul rest in peace.
 
Saizi bora upande ndege tu, ndegw nyingi zimeongeza safari za KIA na bei ni sawa na bus tu ukiangalia mida unaookoa.
Mmh hadi dakika hii hakuna aliyeongelea kama abiria wametoka kwenye gari au bado na wenyewe wako upside down kama basi?

Inaonekana tairi zimeisha kwa mbali (kipara), mvua kubwa lami imelowana, kama kuna gari ilimwaga oil kwenye lami halafu dereva alikuwa speed tuseme alikuwa ana overtake au anakwepa kitu, speed, kuisha tairi, uterezi gari ikavutwa pembeni.....

Jamani hapo hazisikiki sauti za abiria kuomba msaada? Hata sauti za watoto wakilia?

Tuna ndugu, jamaa na marafiki wanasafiri kila leo kwenda Moshi na kurudi.... Tunaomba taarifa tafadhali kuhusu abiria hapa roho juu....
Kilimanjaro na Da r Express ni magari pendwa. Japo siku hizi kuna Marangu Coach... Ikitokea nikakosa ndege basi Marangu inahusika.
 
Kwa hili hapana. Ni Scania tena Marcopollo mkuu. Ajali ni ajali. Uzembe kidogo tu ni kasheshe. Either alikwepa mtu anaovertake au yeye mwenyewe aliovertake. Au kafunga brake za ghafla na lami imelowana na mvua
hanunuagi bus huyo.. anaundia kwenye yard yake mikochen hapo
 
Swala sio uzito unaochukuliwa bali usalama wa abiria, ni kawaida kwa sisi waafrika kuchukulia kilakitu poa.

Wenzetu wanaotengeneza hayo mabasi wanalipa watu hela nyingi sana kwenye design ya body kwa kuzingatia mambo ya air resistance njiani ambayo inachangia kwenye stability ya gar especially when speeding.

Sasa mtu achukue aluminum tu ajiundie body na hakuna test zozote za stability ya basi ata kwenye simulation tu halafu apakize watu na speed juu njiani hiyo sasa ni accident ambayo inasubiri muda.

Anyway mie ngoja nitoke kwenye huu mjadala maana naanza kuona hasira.
uko nyuma sana mkuu, nyuma mno, tuna kampun za kutengeneza mabody hapa na Nairobi... wengine wanatengeneza wenyewe kwenye yard zao... na pia usidhan kwasababu hujui kama taaluma hiyo ipo basi na wao watakua hawana
 
Back
Top Bottom