TANESCO wakata umeme ilipofika zamu ya Upinzani kuwasilisha Bajeti ya Mazingira na Muungano!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Jamani ghafla umeme umekatika sekunde chache kabla upinzani kuwasilisha
Bajeti ya mambo ya Muungano na Mazingira.

Ni ajabu lakini hali hii imetoka. Serikali na TANESCO yao wapumbavu kweli.
Sijui watakuwa wanafanya hivi hadi lini na kwa faida ya nani?

Hebu mlioko mikoani tujuzeni kama na nyinyi mmekutwa na hii kadhia.
 
Mpumbavu wewe mwenye fikra za makengeza za kudhani kwamba serikali inaweza kuogopa maoni ya upinzani ambayo yamejaa nadharia na vitu vya kufikirika.
 
Ndo zao hao,Mara nying upinzan ukitaka kufanya mambo wanakata au wanajifanya mitambo ya tv husika inasumbua
 
Wote tumeshangaa, tukajua huenda kuna jambo muhimu huko bungeni.
 
Mpumbavu wewe mwenye fikra za makengeza za kudhani kwamba serikali inaweza kuogopa maoni ya upinzani ambayo yamejaa nadharia na vitu vya kufikirika.

Hakuna uhalisia usiokuwa na nadharia, practicals have theories behind.
 
Jamani ghafla umeme umekatika sekunde chache kabla upinzani kuwasilisha
Bajeti ya mambo ya Muungano na Mazingira.

Ni ajabu lakini hali hii imetoka. Serikali na TANESCO yao wapumbavu kweli.
Sijui watakuwa wanafanya hivi hadi lini na kwa faida ya nani?

Hebu mlioko mikoani tujuzeni kama na nyinyi mmekutwa na hii kadhia.

Serikali iogope hoja za bajeti "0"?

Zitto yuko wapi?
 
Ee bwana poleni sana kwa kuzimiwa umeme na GambaNesco kimsingi lisu ameliambia taifa na kuwaumbua wanaokumbatia muungano kwamba hakuna muungano maana kuna maamiri jeshi wa2 serikali mbili,makamu wa raisi wawili na kwa mujibu wa katiba ya uamsho yani hakuna muungano hata kidogo wamebakia na wizara ambayo haina inachokifanya kawachana vibaya mno!
 
Mpumbavu wewe mwenye fikra za makengeza za kudhani kwamba serikali inaweza kuogopa maoni ya upinzani ambayo yamejaa nadharia na vitu vya kufikirika.
Sasa mkuu, mleta hoja kasema anachojua ndio ukweli anaoufahamu, mitusi ya nini kwake? Mamod kumbe mko selective kuban? Hii ilistahili ban kabisa. Kuleta hoja tu mtu anarushiwa mikombora ya mitusi?????
 
Hawa magamba ni sawa na mbuni anaeficha kichwa chake mchangani huku mwili wake wote uko nje akifikiri amajificha!! Mbumbumbu hawa, wananchi wa leo hawadanganyiki!!
 
Mpumbavu wewe mwenye fikra za makengeza za kudhani kwamba serikali inaweza kuogopa maoni ya upinzani ambayo yamejaa nadharia na vitu vya kufikirika.

Naogopa 'ban' halafu najiona nimeshakuwa mtu mzima!
 
Mpumbavu wewe mwenye fikra za makengeza za kudhani kwamba serikali inaweza kuogopa maoni ya upinzani ambayo yamejaa nadharia na vitu vya kufikirika.

" Liwao na liwe" Mpumbavu wewe na demu wako na Zomba. Heshimu mawazo ya wengine sio unaropoka tu kama umekunywa juice ya vipakti.
 
Mpumbavu wewe mwenye fikra za makengeza za kudhani kwamba serikali inaweza kuogopa maoni ya upinzani ambayo yamejaa nadharia na vitu vya kufikirika.

Jazba za nini dogo? jibu kitu kama kinavotakiwa na siyo jazba au unawatafutia wenzio BAN
 
Haniwezi nazijua ban za kutafutiwa mkuu! Hata muda huu wa jioni mara baada ya mjadala kuanza TANESCO wamezima tena umeme. Today is special day for residents of Dodoma.
 
Back
Top Bottom