kimpe
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 911
- 861
Yaani nimekuwa maeneo kadhaa ya nchi kwa wiki hii toka Arusha Tanga Mpaka Mbeya umeme ni shida baadhi ya maeneo wanakata asubuhi mpaka saa tano usiku, na hio ni ratiba ya kila siku hawana Jumapili, Jumamosi, wala Ijumaa na kibaya kuliko vyote ni waongo kama kuna mgao waseme ili wagawe kwa ratiba maalum hii ni aibu ya shirika kwa Taifa. Kuweni wa kweli hata kwa sekunde moja