Tanesco kuna shida gani Mwanza kila siku umeme mnakata, maeneo ya Mecco, Nyasaka, Lumala, Pasiasi
 
Sisi umeme ulikata juzi saa 2 usiku,usiku kucha mpk mchana kutwa ukarudi tena saa 2 usiku,saa sita usiku ukakata tena,ukarudi kesho yake saa 2 asbh,saa 5 ukakata,ukarudi tena saa 10, ilipofika saa 2 usiku ukakata tena,umerudi mda huu tena,
 
Ningependa kujua utaratibu wa kulipa madeni ikiwa nyumba nimekodi na siyo yangu.
Je nifuate utaratibu gani kuhakikisha madeni yanalipwa na mwenye nyumba na sio mimi mpangaji.

Mf: Nikiweka umeme wa 20,000 nalipia madeni 10,000 wakati mimi nimepanga nyumba hivi karibuni
 
TANESCO Tanzania hivi kweli mama SAMIA SULUHU HASSAN MAMA YETU MPENDWA anajua tangu asbh mpaka saa 18:00 jioni kariakoo gerezani yote umeme ulikuwa haupo mkarudisha kwa dk 45 pekee mkakata mpaka sasa saa 09:44 umeme hakuna na hakuna maelekezo yeyote mliotoa?

Au ni kwa kuwa katiba haimpi mwananchi fursa ya kwenda mahakami kuwashtaki

Au ni kwa kuwa mnaloliamini ninyi mnajua kila mmoja wetu atalikubali
Au biashara for this time ya majenereta mna I promote kwa nguvu zote?

Au kwa kuwa wananchi wengi hawajui sheria za local Government na kuzitumia ipasavyo
Tuombeni radhi na mturudishie umeme la sivyo mtueleze tatizo lipo wapi
La sivyo mnatuaminisha Luna jambo nyuma ya pazia kwenye kukatika umeme kariakoo Gerezani yote pasj na sababu ya msingi
 
Back
Top Bottom