Hivi TANESCO

Kwann kujibu swal dogo Kama langu umeshindwa NIMEKUULIZA NAOMBA NIANGALIZIE MITA NAMBA 24210297172 KAMA NAWEZA KUWA TARRIF NAMBA 4

sijapata jibu zaidi umeniuliza napatikana wapi nimekujibu MBAGALA KILUNGULE ..DSM

LAKN HUJANIPA MAJIBU SWALI LINA SIKU YA TANO LEO

JAMBO KAMA HILI NALO TUACHE KAZI TUKAPANGE FOLENI KUULZIA ?

NN MAANA YA KUJA HUMU

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
fungua hapa mkuu nilijibu pia lakn Bado na kesho utaniuliza tena

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nakaa mbagala kilungule

Lakn Hili swal unaniuliza Mara ya tatu Sasa huwa hupitii posts zilizopita

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Swala hili tumewahi kukujibu kupitia ukurasa wetu kuwa wateja wanaokidhi kuwa kundi la matumizi ya umeme unaloomba wanapaswa kuwa na sifa zifuatazo:

1.Wastani wa matumizi usiozidi unit 75 kwa mwezi

2.Matumizi ya Nyumbani

3.Makazi ya vijijini

Hivyo hauna sifa za kuwa kundi unaloomba.
 
Mkuu mbona mm jiran yangu yupo TARRIF ya 4 tunakaa mtaa mmoja hi imekaaje maana Kama unit 75 mm sifikish kwa mwez wastan n unit 49 had 53

Naomba ufafanuzi maana had kuja huku kuuliz n baada y jirani yangu kuniambia hili na nimeshuhudia akinunua umeme unit 75 kwa tsh 9500

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mbona mm jiran yangu yupo TARRIF ya 4 tunakaa mtaa mmoja hi imekaaje maana Kama unit 75 mm sifikish kwa mwez wastan n unit 49 had 53

Naomba ufafanuzi maana had kuja huku kuuliz n baada y jirani yangu kuniambia hili na nimeshuhudia akinunua umeme unit 75 kwa tsh 9500

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tupatie namba yake ya mita kwa uhakiki na majibu sahihi tafadhali
 
Unanunua LUKU kwa simu,unapewa tokeni,unachukua hiyo Tokeni unaingiza kwenye mita umeme uingie!

Huu ni uzembe wa hali ya juu kwenye ubunifu wenu. Kuna haja gani ya kufanya kazi mara mbili?? Uzitafute tokeni kisha uziingize!!! Muda mwingine haziji kwa wakati!! Kwanini zisiingie kwenye mita automatic kwenye mchakato wa kwanza??
 
Tumepokea taarifa hii tunaendelea na hatua za utekelezaji kwa kuwa hili linahitaji uwekezaji mkubwa kwenye technologia, tukutoe shaka kuwa litawezekana
 
hakuna boss magufuli kaondoka na 27 yake mimi nimetoka kulipia juzi 320,960/= na niliangaikia control number toka 14/9/2021 enzi hizo umeme 27 elfu ila ndo hivyo imekula kwetu kwa sasa wamesema wanakuja kufunga kesho ngoja nione
Utatoa mrejesho mkuu
 
Mkuu mbona mm jiran yangu yupo TARRIF ya 4 tunakaa mtaa mmoja hi imekaaje maana Kama unit 75 mm sifikish kwa mwez wastan n unit 49 had 53

Naomba ufafanuzi maana had kuja huku kuuliz n baada y jirani yangu kuniambia hili na nimeshuhudia akinunua umeme unit 75 kwa tsh 9500

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ukimpa namba ya mita ya jirani yako utakua umekosa busara sana
 
hakuna boss magufuli kaondoka na 27 yake mimi nimetoka kulipia juzi 320,960/= na niliangaikia control number toka 14/9/2021 enzi hizo umeme 27 elfu ila ndo hivyo imekula kwetu kwa sasa wamesema wanakuja kufunga kesho ngoja nione
Mkuu upo maeneo gani, nataka nikalipie na mimi ila tatizo wataweka lini
 
Habari, nipo Mwanza Ilemela nataka kulipia niunganishiwe umeme, je itachukua muda gani kuunganishiwa nguzo ipo nyuma ya nyumba hapa.
 
Mnatukosea sana Wilaya ya Sikonge kila siku umeme unakatika tatizo nini? Kama mmeshindwa kuhudumia watu semeni inakuwa kama tunaomba msaada
 
Ukimpa namba ya mita ya jirani yako utakua umekosa busara sana
Sitofanya hivyo na majibu yake n ya uongo Sana Leo nilienda tanesco mbagala na barua wamechukua barua yangu na kuisain nimeambiwa nisubiry baada ya mwez mmoja ntakuwa nimeunganishwa na TARRIF 4

Sasa sjui huyu bwana majibu yake anayatoa wapi

Kuanzia leo nimempuuza kabisa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Naomba TANESCO inurudishie unit zangu tatu ambazo wamekata.hapa. Ukupiga hesabu ya makato unapata elfu ishirini na nne..elfu moja nzima mmeikata pasipo na sababu na haijulikani imekwenda wapi.

Naomba unipatie. ibu ama namna ya kuwasiliana.na watoa token za luku muamala huo hapo nilipata kupitoa NBC mobile. Asante

Malipo yako yamekamilika.
Maelezo:
LUKU
TANESCO
Meter 37212864880
Receipt 9008220671449363278
Units 67.4 kWh
Token 38183371211316852943
Gharama TZS19672.14
VAT 18% TZS 3540.98
EWURA 1% TZS 196.72
REA 3% TZS 590.16
JUMLA TZS 25000.0
Kumbukumbu namba 91646740220705
 
Sitofanya hivyo na majibu yake n ya uongo Sana Leo nilienda tanesco mbagala na barua wamechukua barua yangu na kuisain nimeambiwa nisubiry baada ya mwez mmoja ntakuwa nimeunganishwa na TARRIF 4

Sasa sjui huyu bwana majibu yake anayatoa wapi

Kuanzia leo nimempuuza kabisa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa anayetusumbua humu hakuna issue yeyote imeripotiwa akaja na solution zaidi ya kuuliza maswali yake Yale.
 
Kuna kitu naomba kujua..

Kama tunatumia taarif ya chini ile ya buku 9 je...

Nikilipia efu 11 ili baada ya makato ya kodi ya elfu2 nibakiwe na umeme wa tarif ya chini yaani elfu9 kuna tatizo? Sinto amishwa tarifu nikinunua hivyo?

Nangoja majibu..

===

NB: Leo siongei kuhusu umeme kukatika katika maana kuna uwezekano mpaka hapo ofisini kwenu ulipo umeme umekatika.
Cc TANESCO Malibu tafadhali.
 
Mnataka tuwape maoni lakini mnaendelea na katakata umeme bila taarifa na kusababisha hasara ya vifaa vya wateja wenu kuharibika.

Hakika KAZI IENDELEE ya katakata umeme
 
Back
Top Bottom