Labda kuna kitu kinaendelea hatujui hapa dumila maana imekua kero sana.

Au kuna mtu anauza magenerator au solar anataka business yake iwe imara

Maana too much imezidi hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda hilo nalo linachangia sababu baishara ya solar Na majenereta imepamba Moto saana

Mfano Hapa Dumila ukiingia kule ndani ndani Kidogo Pande Za bwawani unakuta umeme haujafika yaani watu wanasubiria nguzo Ila haziji Na maeneo hayo ndio kampuni ya Solar King inafanya biashara kama haina akili timamu Na watu miaka wanazungushwa nguzo Ila biashara ya solar imeshamiri

TANESCO rudisheni umeme
 
Toka asubuhi mmekata umeme hapa Dumila Hadi Sasa hivi umeme Hakuna hivi Huu mgao mkali unaoendelea hapa Dumila utaisha lini?
 
Kuanzia Dar Hadi Mwanza au tusema Dar Hadi Kigoma

Hakuna sehemu kwenye parking ndefu ambako Ni tegemeo la malori kama Dumila. Na ndio sababu hapo nyuma kukaa Giza hili Eneo ilikuwa Ni mwiko Ila chini ya Awamu ya Makamba imeonekana Ni Jambo la Kawaida labda siku muanze kusikia milipuko ya magari Na chanzo Ni ukosefu wa Umeme labda ndio mtajua kuwa umeme unausalama mkubwa Eneo Hili haswa Kwa hawa wezi waliochanganya
 
Aisee hawa tanesco naona wanadharau sana paka sasa hawajarudisha umeme

Mimi naona tufuate na kwenye social media nyingine kama Facebook na Instagram

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo mmekata tena umeme tangu saa sita mchana mpaka sasa saa tisa na nusu haujarudi. Mnakata umeme bila taarifa yoyote.

Jamani wengine tunaendesha maisha yetu kwa shughuli zinazotegemea umeme kwahiyo hapa leo narudi nyumbani patupu.

Badirikeni mnatuumiza sana, kama ni matengeneza hamuwezi kufanya usiku.

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Usikose kipindi maalum cha TANESCO mubashara kupitia UTV - Azam channel 108 wakizungumza na jukwaa la wahariri juu ya mikakati yake katika kuboresha huduma ya umeme nchini, ni Jumanne hii kuanzia saa 3:00 za usiku.

#TupoKazini
IMG_20220222_100508_311.jpg
 
Usikose kipindi maalum cha TANESCO mubashara kupitia UTV - Azam channel 108 wakizungumza na jukwaa la wahariri juu ya mikakati yake katika kuboresha huduma ya umeme nchini, ni Jumanne hii kuanzia saa 3:00 za usiku.

#TupoKaziniView attachment 2126968
Mikakati ya kukatikakatika umeme au jinsi uongozi wa TANESCO unavyoendesha shirika?

Hivi huduma zingine za kijamii (maji, afya na elimu) nazo zingeendeshwa kwa namna na jinsi ya uongozi wa TANESCO (Bodi na Menejimenti mpya) maisha yangekuwaje?
 
Usikose kutazama marudio ya kipindi maalum cha TANESCO kupitia ITV wakizungumza na jukwaa la wahariri juu ya mikakati yake katika kuboresha huduma ya umeme nchini, leo Jumatano kuanzia saa 3:00 za usiku.

#TupoKazini
IMG_20220223_112427_327.jpg
 
Usikose kutazama marudio ya kipindi maalum cha TANESCO kupitia ITV wakizungumza na jukwaa la wahariri juu ya mikakati yake katika kuboresha huduma ya umeme nchini, leo Jumatano kuanzia saa 3:00 za usiku.

#TupoKaziniView attachment 2128337
Tuhurumieni watu wa Masasi jamani huduma ya umeme ni mbovu sana utafikiri siyo sehemu ya nchi nzuri ya Tanzania. Zima waka ni nyingi mno + low voltage za hapa na pale
 
Tunaomba msaada, Leo ni Siku ya nne hatuna umeme

Kijiji: michungwani
Kata: Mabalanga
Wilaya: Kilindi, mkoa wa TANGA.
chanzo: hitilafu ya transformer iliyosababishwa na mtu anayesadikika ni mlevi. hata kama upelelezi haujakamikika, Tunaomba mtuwashie umeme kwanza, tunateseka sana.

Tafadhali
 
Back
Top Bottom