TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 4,584
- 2,104
- Thread starter
- #10,761
Ndugu mpendwa Mteja wetuTanesco wilaya muleba mkoa kagera Kuna tatizo gani mbona umeme tangu Jana asubuhi mmekata na taarifa hakuna mnatukwamisha wengine kula kwetu mpaka umeme uwepo bila hvyo ni njaa tu tusaidieni tafadhali
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja