Inachukua muda gani toka kuwasilisha fomu ya maombi mpaka surveyor aje kukadiria gharama?
 
asante tumelipokea na tutalifanyia kazi
Kwakweli kwa sasahivi TANESCO wamebadilika, wanachapa Kazi kiuhakika, nilitembea office moja ya TANESCO treatment waliyonipa kwakweli nawapa kongole, has a Korogwe Na Handeni wanajituma sana, unaingia ofisini sio kama zamani kila mtu anakuchangamkia vyakutosha. Natoa hongera sana kwakweli.zile monopoly za zamani hakuna kabisa. Pongezi kwao
 
Tunashukuru sana mpendwa mteja wetu
 
Kiukweli Nina masikitiko makubwa sana. Niliwahi leta malalamiko hapa ya kwamba huku kwetu kuna mradi wa REA mradi ambao wakandarasi wa umeme na wajumbe wa kumi huu mradi wameufanya mradi wa kujipati pesa kwao. Awali ilikuwa nguzo tukatoa pesa za kubebea . Zikaja nyaya watu wakatoa pesa na si pesa tu bado kina mama walipikishwa vyakula tena kwa pesa zao. Sasa hivi watu tushalipia umeme ila unafungwa kwa mafungu. Unakuta nyumba ina mita 3 ila wengine wanakosa hata hiyo mita moja. Bado zikija mita wanachagua pa kufunga eti watu watoe pesa ya kupandia juu. 20000/= kiukweli nimewakatalia nnimewaambia sina kama ni haki yangu nitafungiwa mwaka wowote ule na nimewaambia siwafuatilii tena kwakuwa nishalipia basi mini ndio naidai tanesco na ni wajibu wao kuja kunifungia. Wamezunguka nyumba zote za hapa jirani walizolipia na kufunga kwengine wametanguliza mabox ya mita kwenye baadhi ya mitaa tena wateja ndio wanajibebea. Kisha tanesco anamfuata mteja kwenda kumfungia tu. Hivi hii sheria ya wapi mteja anabeba box la meter. Mambo hayo hayi yanatokea huku Viwege majohe ilala vijijini muje michunguze siyo munaomba namba .. mara ya kwanza mumeomba namba bila kufuatilia. Liangalieni hili jambo aissee linaumiza.. umeme 27000 ila watu wanagharamika vibaya mno

Na hizi waya zinzoshikilia nguzo zisiangua wameziweka vibaya katikati ya njia za mtaa na gari zinashindwa kupita kabisa yani hata itokee mtu kafa maiti itabebwa mkononi mpaka barabara kuu.
 
Tafadhali onyesha namba yako ya simu kwa hatua zaidi
 
Hii ni taasisi/campuni yenye uzembe mkubwa sana kam ilivyo idara ya maji.. Hamjali kabisa huduma za wateja mnaitwa mnakaa hata wiki na zaid ndo mtajigusa
 
Tafadhali onyesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Toka lini

Kwa hatua zaidi
 
Control number Geita Mjini ni shida .(More than a month since Surveyor wamekuja kufanya vipimo)
Nishatuma taarifa PM ila sielewi tatizo ni nini?

Surveyor pia ni wachache .

Hii pesa mwishowe nitaitumia .

Jaribuni kubadilika, ili tuendane na kasi ya rais anayohitaji, Bado mpo slow sana.
 
Tafadhali onyesha namba ya simu
 
Control number Geita Mjini ni shida .(More than a month since Surveyor wamekuja kufanya vipimo)
Nishatuma taarifa PM ila sielewi tatizo ni nini?

Surveyor pia ni wachache .

Hii pesa mwishowe nitaitumia .

Jaribuni kubadilika, ili tuendane na kasi ya rais anayohitaji, Bado mpo slow sana.
One month unalalamika?! Watu tumekaa miezi sita. Tumesumbuana Hadi makao makuu ndio nikatumiwa
 
Sasa huo si upumbavu? Nini kinachozuia control number isitoke on time?
Kuna uzembe mahali.
Na hicho ndio kinachochelewesha maendeleo. Uwajibikaji , hakuna mifumo ya kusimamia kazi za kila siku. Hakuna report zinazoonesha mtu amefanya nini kwa mwezi?

Mie nimefanya kazi na raia wa kigeni wao kila mtu anapimwa kazi zake kwa week.
Kama ni surveyor yeye anapimwa idadi ya wateja aliowapimia kwa mwezi value alioisababishia kampuni kuingiza the same na Accounts pia wanapimwa idadi ya wateja waliohudumiwa pamoja na processing time yaani Ombi limekuja lini na lini limelipiwa .

Na ndio maana ya uchumi wa kati . Yaani tuache uzembe tufanye kazi sio maneno.

Hakuna wahisani awamu hii . Muda si mrefu tanesco itatakiwa ijiendeshe yaani ilipe mishaara kutoka mapato yake. Kama vile idara za maji
 
Makao makuu tunalifatilia hili kwa hatua zaidi.
 
Makao makuu tunalifatilia hili kwa hatua zaidi

Nitafurahi zaidi, maana ni aibu .
Eneo halina miundombinu na sisi tupo tayari kulipia gharama hizo ili huduma iwafikie wananchi wengi, lakini cha ajabu hatupewi ushirikiano.
 
Hauwezi kupewa control number mpaka miundombinu ifike eneo lako.
 
Back
Top Bottom