HONGERENI TANNESKO KWA KUANGAZIA MAISHA YA WA TANZANIA. Naomba mniunganishe zero tarrif D1, Nime washiwa umeme mwakajana mwezi wa kumi mwishoni. Niki nunua umeme wa elfu tisa au elfu kumi napata unit chache sana, nilipo fuatilia kwenye website ya tannesko nikaona maswali yanayo ulizwa marakwa mara nipamoja na hili la kiwango cha umeme,. Nipo mbali na mjini center ya tannesko. MITA NAMBA YANGU NI. 37212234498. SEDRICK THEOFRID NDUNGURU, SIMU.0676848323 mmiliki halali wa nyumba. Sina chochote ninacho zalisha kwa kutumia umeme, zaidi ya matumizi ya nyumbani.
 
Tanesco kwa kweli mmejua kutuweza watu wa arusha manyire na maeneo ya jirani... leo umeme umekatika for 12 full hours saa name usiku wa kuamkia leo ukarudi saa nane mchana, ukakaa masaa matatu saa kumi na moja jioni ukakatika tena mpaka sasa.. tuliwakosea nini??? Au sisi sio wananchi na hatustahili huduma ya umeme???
 
Shilika la tanesco liwe Kama makampuniengine yamatafuta wateja wawaletee watu fomu wajaze tayari kwa kuunganishia umeme liwe Kama makamuni ya simu maana watu wengi wanataka umeme wanashindwa kutokana na mzunguko wake mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nyie TANESCO mnafahamu hasara mnayosababishia waTanzania kwa kuwaweka bila umeme kuanzia saa nne leo asubuhi mpaka sasa hivi saa moja kasoro.

Ni tuko kwenye mgao wa kimyakimya au ni uzembe wa utendaji kazi wenu???.

Hakuna taarifa yoyote mlioyotoa juu ya katizo la umeme kwa umma na bado mnaona mko sahihi.

Hakika yawapasa kuwajibika kwa uzembe na utendaj mbovu wa taasisi yenu nyetu.

Bado nitazidi kusisitiza kwenu kufanya tafakuri ya kina juu ya utendaji wenu.
 
HONGERENI TANNESKO KWA KUANGAZIA MAISHA YA WA TANZANIA. Naomba mniunganishe zero tarrif D1, Nime washiwa umeme mwakajana mwezi wa kumi mwishoni. Niki nunua umeme wa elfu tisa au elfu kumi napata unit chache sana, nilipo fuatilia kwenye website ya tannesko nikaona maswali yanayo ulizwa marakwa mara nipamoja na hili la kiwango cha umeme,. Nipo mbali na mjini center ya tannesko. MITA NAMBA YANGU NI. 37212234498. SEDRICK THEOFRID NDUNGURU, SIMU.0676848323 mmiliki halali wa nyumba. Sina chochote ninacho zalisha kwa kutumia umeme, zaidi ya matumizi ya nyumbani.
TANESCO NINAOMBA MNIJUZE NI VIGEZO GANI VINAZINGATIWA ILI MTEJA WENU AWEZE KUUNGANISHWA NA HII HUDUMA YA ZERO TARIF? KWAMAANA NIMEENDA PALE TANESCO NYAKATO DISTRIC WAMENIAMBIA NITUMIE UMEME KWANZA. NAULIZA KIGEZO CHAKUPATIWA HUDUMA HII NI MTANZANIA WA HALI YA CHINI AUMIE KWANZA?
NILIWASHIWA UMEME MWAKAJANA MWEZI WA KUMI NA MOJA. NIELEWESHENI AU KUNA MAZINGIRA YANA HITAJIKA HAPA ILI KUPATIWA HUDUMA HII YA ZERO TARIF KWA MTANZANIA WA HALI YA CHINI?
 
TANESCO MAKAO MAKUU PLEASE INGILIE TATIZO LA UMEME NAMTUMBO RUVUMA.

Mamlaka ya umeme Tanesco Namtumbo ni tatizo kubwa ambalo linahitaji kuingiliwa na mamlaka za juu(Tanesco makao makuu) kabla ya wananchi kuandamana kudai umeme. Hali ya kukata umeme mda wote inakera na inarudisha juhudi za maendeleo ambazo rais Magufuli anahubiri kila siku. Sababu ya kukata umeme ni nyingi 1. Upepo japo Mdogo wanakata 2 Mvua iwe ndogo au kubwa watakata 3. Juma mosi,hii siku umeme wanakata rangi kipindi cha generator la mafuta 4. Service zao 5. Bila sababu ya msingi 6 n.k.
Hizo sabau hupelekea umeme kukata mda wote na kuhusisha huwa inachukua mda mwingi sana.
Mfano Jana Tar 12-14/01/2020 almost umeme haueleweki kabisaaaaa. Leo majira ya SAA kumi na moja jioni ilinyesha mvua wakakata umeme na mvua iliacha mapema tu kabla ya SAA kumi na mbili, cha ajabu hadi sasa SAA mbili na 15 basi na huenda wakalaza hadi kesho.
Umeme ni kero kubwa sana, Kuzima wanazima haraka kurudisha inachukua masaa mengi sana na hakuna service yoyote inayofanyika ila wakijisikia wanarudisha. Jana wamerudisha baada ya kuwasiliana nao na bila kupiga simu huenda wasingerudisha.

TUNAOMBA MSAADA WA UMEME NAMTUMBO HII NI KARNE NYINGINE HATUPO KWENYE ZAMA ZA GIZA.
0678538396
Mdau na mtumiaji wa umeme Tanesco
 
Nataka kuweka mita yangu mwenyewe kwenye fremu za biashara nataka kujua gharama zinakuwaje na process nzima nipo Mwanza mjini
 
Tanesco..!!

hivi huyu mwizi wa umeme kwa zaidi ya miaka mitano(5) ndo kusema hamjapata namna yoyote kumtambua/ kumkamata???
 
TANESCO Mbagala mmezidi, kila kukicha ni kukata umeme tu, au mnalipwa posho kwa matengenezo kwa hiyo mnakata makusudi ili mlipwe?, Tumechoka na hiyo tabia yenu, rudisheni umeme Sasa hivi, waziri husika ni mzembe kabisa
 
anesco..!!

hivi huyu mwizi wa umeme kwa zaidi ya miaka mitano(5) ndo kusema hamjapata namna yoyote kumtambua/ kumkamata??? nahisi jamaa atakua na kikakati ya kuongeza mitano tena ili iwe kumi kabisa .. Tanesco ni dhahili mmeshindwa ku monitor mita zenu...so sad
 
Du
 
Tanesco kigamboni mbona mnafanya masihala na vifaavyetu.

Umeme una katika katika kienyeji kila mara what's the matter.
Jamani,mtatutia hasara ah.
Kama kuna tatizo kateni umeme hata siku3 mrekebishe tatizo then muwashe sio kata washa kata washa kata washa, hii sio sawa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom