Tunashukuru kwa maoni mpendwa mteja tumeyapokeaAsante sana, kwa kutuomba waoni yetu. Maoni yangu ni kama ifuatavyo: Taasisi ya umma kama Tanesco kuna haja ya kujiendesha kijasiriamali na kuachana na mfumo huu wasasa mnaoendelea nao. Kwanini hamuoni haja ya kusajili wateja wapya ili muweze kuwapatia huduma. Kuna makazi / miji mipya mingi saana inayoendelea kukua kutokana na ongezeko la watu. Lakini pamoja na ongezeko hili la watu na makazi mmeshindwa kuendana na kasi kwa kuwasambazia miundombinu ya umeme ili waweze kuunganishwa na hatimae kupata huduma za umeme!! Kwanini hamuoni haja ya kuunganisha wateja wapya katika maeneo yenye makazi mapya tembeleeni Morogoro, Kihonda, Mkundi,Kiegea kote huko nimeshangaa saana kuona idadi ya makazi mapya yenye kupendeza hakika, lakini yoooote yako gizani!! Amkeni sasa muache kukaa maofisini wakati watu wanahitaji huduma zenu.
Unapaswa kuangalia yafuatayo :Naomba mawazo yenu kwa tatizo hili: natumia unit 8 kutwa.
Nina frigdge moja ndogo, taa energy saver kama 5 zinawaka saa 12 a day, tv mbili zinatumika kama saa 5 a day, . Nadhani unit 8 a day huu ni umeme mwingi ninao tumia.
Tatizo linaweza likawa wapi? Nimeleta fundi akacheki wiring akasema iko vizuri.
Ushauri tafadhali.
Asante
asante sana. ngoja nifanya haya uliyonishauri. Asante tena na tenaUnapaswa kuangalia yafuatayo :
1. Zima kila kitu na uchunguze kama bado kuna Unit ina/zinasogea , kama ukiona zinasogea wakati kila kitu kipo unplugged/disconnected basi ujue kuna shida ya ziada
2. Hakikisha switch socket ya vitu kama ving'amuzi au deki vimezimwa wakati ambao havitumiki au unapokuwa umelala
3. Angalia taa zako zina Watts ngapi ...kwa kawaida matumizi ya nyumbani inashauriwa taa moja at least isizidi 18Watts , kuwa na mwanga mkali sana sio salama pia kwa afya yako
4. Jaribu ku control matumizi ya vitu kama Deep freezer/Fridges au dishwashers , AC etc
5. Jifunze namna ya kujua Capacity ya vitu vyako vya umeme , hapo naona umehesabu tu idadi ya vitu ulivyonavyo na masaa vinafanya kazi , hiyo haitoshi unapaswa kujua yafuatayo
- TV yako inatumia Watts ngapi
- Ceiling Fan -Deep freezer
- Taa
- na appliances zote lazima ujue
Then Jumlisha na ujue unavifaa vinavyotumia umeme kiasi gani kwa ujumla wake then ndio upange matumizi sasa , Kupanga ni Kuchagua
6. Wiring yako uliifanya kwa kutumia cable za aina gani hapa nazungumzia QUALITY , kama ulinunua za bei rahisi na ambazo hazijathibitishwa na TBS lazima uumie hasa .
Naomba niishie hapa kwa leo zaidi labda unaweza ni DM nikakushauri zaidi .
Pia wengine ngoja waje watasaidia kushauri .
Umeme wako 1957 4794 5695 4146 6481MIMI NILINUNUA UMEME KWA AIRTEL MONEY ILIKUWA TRH 02/06/17 KWA BAHATI MBAYA SIKUPATA SMS ZA TOKEN HADI LEO NA NIMEWAPIGIA AIRTEL WAKASEMA NIWASILIANE NANYI KWA MSAADA ZAIDI NAOMBA KUSAIDIWA TAFADHARI:
1. NAMBA: 0687237985
2.KIASI: 10,000
3.TRH: 02/06/2017
4.MUDA: 11:20 AM
4.LUKU NO: 54150156559
Nadhani ungrmjibu inbox. Hapa si mwingine anaweza kutumia hizo namba akajijazia kwake.Umeme wako 1957 4794 5695 4146 6481
AhsanteHauwezi kuingia kwenye mita yeyete zaidi ya yakwake hii ni tovauti na vocha .
Mkuu nimenunua umeme toka jana saa mbili lakini unagoma kuingia hadi sasa, naomba mnisaidieKwa taratibu zetu mita haiamishiwi.tunakushauri uombe mita mpya kwa gharama mpya ya eneo lako
Tanesco vipi mbona wengine hatusaidiwi mliniambia niwaandikie namba ya mita niliwaandikia naona kimya hamnitendei haki kulingana na kanuni zenu mimi ni mtumiaji wa chini sana wa umeme.TANESCO TAFADHALI NAOMBA MNISAIDIE NATUMIA UMEME UNIT NDOGO SANA KWA MWEZI HATA 65 HAZIFIKI KWA MWEZI LAKINI NAONA BEI YA MANUNUZI WA UMEME BADO NI YA WATUMIAJI WAKUBWA MLISEMA HUA INABADILIKA AUTOMATICALLY HAMNA KITU. METER NO. NI 24217491554
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOHapa kwangu maeneo ya sinza kuna nguzo kubwa imeoza na kukatika chini karibia mwaka sasa yani inashikiliwa na zile support za waya wa chuma nimeshareport zaidi ya mara 1 lakini hamna kilichofanyika
Mpendwa mteja tumekuwa tukiomba taarifa kamili ili kutoa huduma husikaHapa kwangu maeneo ya sinza kuna nguzo kubwa imeoza na kukatika chini karibia mwaka sasa yani inashikiliwa na zile support za waya wa chuma nimeshareport zaidi ya mara 1 lakini hamna kilichofanyika