TANESCO msaada tafadhali. Niko gizani

Makuku Rey

JF-Expert Member
Dec 31, 2013
3,387
3,575
Siku ya Tano Leo Niko gizani,remote ya luku aina ya EDMI inayoanzia namba 43 haipokei token yoyote,nmeenda ofisini kwao zaidi ya mara 4 wananipa token change lakin wapi!mara ya mwisho wamenipa case namba wakidai watamtuma fundi, fundi amekuja Leo,maelezo anayotoa Sasa!eti hakuambiwa kuwa tatizo ni hilo, yeye kaambiwa Kuna nguzo imeanguka Kwa hiyo hawezi kushughulikia Hilo labda arudi ofisini akachukue token key change ndiyo atakuja sasa!

Baada ya kujibiwa hivyo mi nikarudi ofisini kwao Tena nikakutanishwa na muhasibu, nikamuelezea tatizo langu lote na hatua nilizopitia huku nikimuonesha Yale matoken key change Yao.

Mhasibu akasema Sasa nimpigie yule fundi wao simu nimwambie apande kwenye nguzo akiwa juu ya nguzo ampigie Muhasibu Ili amwambie nini cha kufanya😁, nikampigia yule fundi wao akawa hapatikani😄, nikabaki nimeduwaa sielewi Cha kufanya

Naamini Kuna wataalamu wa hizi meter humu nishaurini nifanye Nini Ili nipate mwanga Tena?!!!NMEKWAMA.

UKIINGIZA TOKEN INAJIBU 'no, no, no'.
TANESCO
 
Siku ya Tano Leo Niko gizani,remote ya luku aina ya EDMI inayoanzia namba 43 haipokei token yoyote,nmeenda ofisini kwao zaidi ya mara 4 wananipa token change lakin wapi!mara ya mwisho wamenipa case namba wakidai watamtuma fundi,fundi amekuja Leo,maelezo anayotoa Sasa!eti hakuambiwa kuwa tatizo ni Hilo,ye kaambiwa Kuna nguzo imeanguka Kwa hiyo hawezi kushughulikia Hilo labda arudi ofisini akachukue token key change ndiyo atakuja sasa!

Baada ya kujibiwa hivyo mi nikarudi ofisini kwao Tena nikakutanishwa na muhasibu,nikamuelezea tatizo langu lote na hatua nilizopitia huku nikimuonesha Yale matoken key change Yao,Muhasibu akasema Sasa nimpigie yule fundi wao simu nimwambie apande kwenye nguzo akiwa juu ya nguzo ampigie Muhasibu Ili amwambie Nini Cha kufanya😁,nikampigia yule fundi wao akawa hapatikani😄,nikabaki nimeduwaa sielewi Cha kufanya

Naamini Kuna wataalamu wa hizi meter humu nishaurini nifanye Nini Ili nipate mwanga Tena?!!!NMEKWAMA.

UKIINGIZA TOKEN INAJIBU 'no,no,no'. TANESCO
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa wetu na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tunaomba namba ya mita kwa ufuatiliaji zaidi, pia tupatie namba ya taarifa uliyopewa mwanzoni kwa ufuatiliaji zaidi.^OK
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Tanesco bwana
 
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa wetu na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tunaomba namba ya mita kwa ufuatiliaji zaidi, pia tupatie namba ya taarifa uliyopewa mwanzoni kwa ufuatiliaji zaidi.^OK
😂😂 hii ndo imaisha hii. Kama huwajui TANESCO wape namba ya mita alaf kaa uone kama haurudi kuanzisha uzi mwingine humu
 
mita zinazoanzia 43 na mita inayoanzia 24 ni shida sana kwanini wasiweke manual remote ya nini
 
Back
Top Bottom