Shirka la uma hili zamani walifanya kazi zi kiuma kweli lkn sijui siku hizi wameingiwa mdudu gani basi pamoja na hadhia tunayopata kutokn na huo umeme siku za nyuma kidogo TANESCO walipo kuwa wanakatizo la umeme either wana fanya marekebisho au vingn walikuwa wanatoa NOTES na matanagazo katika vyomba vya habari redio na tv ili watu wajiandae kuzima vifaa vinavyo tumia umeme lkn siku hizi TANESCO ina zima na kuwasha umeme kama mtu anazima na kuwasha kibatari tv na fregge zimeungua aua kupata mishutuko ya umeme wa ghafra mbna WATANZANIA tumekosa wapi tukimbilie