Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,448
- 16,313
Hii ndiyo taarifa rasmi ya TANESCO :
"Maboresho ya mita za luku zinazoanza na 04 na 05
Mita hizi hazitaweza kufanya manunuzi ya umeme kuanzia tarehe 25 Oktoba 2023.
Lengo La Maboresho
Shirika linabadili Mita hizi kwani ni toleo la zamani na tunatarajia kua na mabadiliko ya kimfumo hivi karibuni hivyo mita hizi hazitaendana na mabadiliko hayo.
Wateja wote wenye Mita tajwa wanatakiwa kutoa taarifa kwa kupiga simu namba 0748 550 000 na kwa kutuma ujumbe wa WhatsApp namba 0758 346 869
Shirika linaomba wateja kutoa ushirikiano katika kipindi chote cha zoezi hili"