TANESCO kuteketeza zaidi ya kilo 120 za nyama buchani kwangu

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,743
9,878
Kwa wakazi wa DSM. Siku ya jana umeme ulikatika kutwa nzima kuanzia usiku wa siku hiyo ya jana (Line ya Ubungo)

Ni hayo tu, 120 kg za Beef ziliteketea hivi hivi nikiwa naziona. Refrigerator yangu haina uwezo wa kutunza baridi kwa masaa zaidi ya matano. Ni kubwa sana ila la kizamani, la Mjerumani

2025 nitavunja taya la mama watoto ikitokea akafanya makosa ya kuwapigia kura viongozi wa kijani
 
Wewe ndo hazikutoshi! Unafanya uwekezaji mkubwa wa kuwa na nyama hadi kilo 120 alafu unashindwa kuwa na mbadala wa umeme? Unaishi Tanzania hipi?

Au wewe ni kijana wa mwendokasi! Ulizia mtu anayefanya biashara inayohusu bidhaa za kuoza uone kama anaweza kuiendesha bila kuwa na generator! Sasa nakuambia! Uchaguzi ujao mkeo atakipigia chama cha CCM!

Na ukimzingua atakupa talaka na kuja kwangu kwasababu hujielewi! Mxiuuuuh
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Kwa wakazi wa DSM. Siku ya jana umeme ulikatika kutwa nzima kuanzia usiku wa siku hiyo ya jana (Line ya Ubungo)

Ni hayo tu, 120 kg za Beef ziliteketea hivi hivi nikiwa naziona. Refrigerator yangu haina uwezo wa kutunza baridi kwa masaa zaidi ya matano. Ni kubwa sana ila la kizamani, la Mjerumani

2025 nitavunja taya la mama watoto ikitokea akafanya makosa ya kuwapigia kura viongozi wa kijani
Ungeichemsha ukauza supu. Next time uza hata nusu hasara uokoe angalau
 
Spare taya la mama watoto please, kumchagua nani ni haki yake ya msingi na hapaswi kuingiliwa katika hilo.

Ila hii nchi basi tu, umeme ni kizungumkuti, sukari juu na sasa maji hakuna!
 
Nchi ngumu sana hii. Umeme wanakata kata hovyo, halafu mwisho wa siku kodi na tozo zao ziko pale pale.

Yaani hawana hata huruma na wananchi wanaohangaika kutafuta riziki, tena kwa jasho na wakiwa juani. Wao kazi yao kubwa ni kula tu! Tena wakiwa kivulini.
 
Kwa wakazi wa DSM. Siku ya jana umeme ulikatika kutwa nzima kuanzia usiku wa siku hiyo ya jana (Line ya Ubungo)

Ni hayo tu, 120 kg za Beef ziliteketea hivi hivi nikiwa naziona. Refrigerator yangu haina uwezo wa kutunza baridi kwa masaa zaidi ya matano. Ni kubwa sana ila la kizamani, la Mjerumani

2025 nitavunja taya la mama watoto ikitokea akafanya makosa ya kuwapigia kura viongozi wa kijani
Unasema?
Screenshot_20240208-200221.jpg
 
subiri makonda akimaliza mikoa yote ataingia nchi ya tanesco akute wanao msubiri mafriji,tv,mashine za umeme,ccm smartphone wakitoa kelo zao hawa julikani umeme ukikatika
 
Pole sana. Mtanganyika. KIZIMKAZI hajui chochote kuhusu umeme na sukari.
 
Kwa wakazi wa DSM. Siku ya jana umeme ulikatika kutwa nzima kuanzia usiku wa siku hiyo ya jana (Line ya Ubungo)

Ni hayo tu, 120 kg za Beef ziliteketea hivi hivi nikiwa naziona. Refrigerator yangu haina uwezo wa kutunza baridi kwa masaa zaidi ya matano. Ni kubwa sana ila la kizamani, la Mjerumani

2025 nitavunja taya la mama watoto ikitokea akafanya makosa ya kuwapigia kura viongozi wa kijani
Yaani uzembe wako ulaumu wengine.Unajua sasa hivi kuna changamoto ya umeme unatumia friji bovu na la zamani kuhifadhi kilo 100 za beef halafu unakuja na hoja ya kutafuta huruma.
 
ukiwa unaongea hivo nenda mbele za watu bana matako kwa utulivu alafu sema hivo.watakukuta mwochari ukimsubiri makonda
 
Back
Top Bottom