Tanesco, Kakobe na tatizo la umeme.

Stevemike

Senior Member
Mar 12, 2011
117
15
Nadhani kila mtanzania anakumbuka mvutano uliokuwepo kati ya Askofu Kakobe na Tanesco kuhusu upitishwaji wa mradi mkubwa wa umeme ktk eneo la kanisa linaloongozwa na askofu Kakobe. Kanisa liligoma lakini serikali ilitumia lazima kidogo. Kuna tetesi kuwa kakobe ameshauri Tanesco kwenda kuomba msamaha kanisani kwake vinginevyo tatizo la umeme halitakwisha! Sina uhakika na tetesi hiyo lakini. Je, hii ndiyo inayoweza kuwa chanzo cha tatizo la umeme hapa Tanzania kwa sasa?
 
Mambo ya Shekhe Yahya haya! Nani hajui chanzo cha tatizo na umeme wa mgao Tz?
Kakobe ndo mmiliki wa kidatu? ndo katuingiza katika mikataba feki ya do-once?
Hata kama ni tetesi.... haziwezi kuwa na ukweli
 
Nadhani kila mtanzania anakumbuka mvutano uliokuwepo kati ya Askofu Kakobe na Tanesco kuhusu upitishwaji wa mradi mkubwa wa umeme ktk eneo la kanisa linaloongozwa na askofu Kakobe. Kanisa liligoma lakini serikali ilitumia lazima kidogo. Kuna tetesi kuwa kakobe ameshauri Tanesco kwenda kuomba msamaha kanisani kwake vinginevyo tatizo la umeme halitakwisha! Sina uhakika na tetesi hiyo lakini. Je, hii ndiyo inayoweza kuwa chanzo cha tatizo la umeme hapa Tanzania kwa sasa?
 
hey nyie mbona mnamshambulia mwenzenu wakati yeye kahoji tu....ikumbukwe kuwa huyu kakobe baada ya serikali kutumia mbavu kupitisha umeme alisema kwa kinywa chake...kwamba mtajuta nyie tanesco kwa kupitisha huu umeme juu ya eneo langu(na ilifika hatua akadesign tishet za njano zenje maandishi meusi: TANESCO MUOGOPENI MUNGU)..na ndiyo yanayoendelea hadi leo
http://http://josephatlukaza.blogspot.com/2011/03/tafakuri-yangu-ya-leo-ya-kakobe-na.html
 
Back
Top Bottom