TANESCO: Hawausiki kuhamisha nguzo za umeme Morogoro Road

Asante

JF-Expert Member
Dec 18, 2009
2,084
1,076
Mradi wa mabasi yaendayo kasi eneo la Magomeni unakwamishwa na nguzo za umeme ambazo bado ziko kwenye eneo la mradi wa barabara, Lawama hizi zimekuwa zikielekezwa kwa shirika la umeme la Taifa kuwa ndio wanaochelewesha.

Ukweli ni kuwa kazi ya kuhamisha nguzo hizo ilitangazwa kwa tenda na Tanroad, kampuni ya M/S Spencon Service Ltd ndio walioshinda, na mkataba ulisainiwa mwezi wa May 2010 kwa gharama ya shilingi 5,600,000,000.00, walitakiwa wawe wamekamilisha kazi hiyo kwa kipindi cha miezi 9 lakini hadi leo hii ni zaidi ya miaka miwili kazi haijakamilika na mamlaka zinazohusika ziko kimya.



 
Back
Top Bottom