jockey emmanuel
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 330
- 50
Wanajamvi napenda kuwajulia hali baada ya kupotea kwa muda mrefu kutokana na majukumu mbalimbali,...napenda kuwapongeza TANESCO kwa kutu-providia umeme wa uhakika since uhuru till today.wamejitahidi sana (but im nt sure)....swali langu ni kwamba je,ni wanatu supply with LIGHT au ni TADASCO(TANZANIA DARKNESS SUPPLIERS)