Anaongea profesa Maghembe anazungumzia umuhimu wa kilimo na kauli mbiu mbali mbali kama:- Kilimo ni uhai, kilimo cha kufa na kupona na sasa kilimo kwanza. Ila kinakua kwa 4.2% tu.
Bunge linaendelea, nafikiri wakati wa kuahirisha bunge atatoa tamko. ninachojua ni kwamba atalialia kama kawaida yake
Siyo Maghembe anayeongea. Ni Prof. Peter Msolla
Ahsante mkuu kwa sahihisho.Siyo Maghembe anayeongea. Ni Prof. Peter Msolla
Mkuu akilia safari hii hakuna mtu wa kumbeleza, watu wanataka kauli tu na siyo machozi ili wajue nini kifanyike.
Heading yako ina mislead, unaweza kufikiri labda ndani kuna tamko la serikali kumbe unauliza!!!