Tamko la muungano na jaji werema

joeprince

Member
Oct 27, 2010
88
12
“Nikiri kuwa tamko hilo la kuridhia makubaliano ya Muungano sijaliona lakini Aprili 25 mwaka 1964 Baraza la Mapinduzi la Zanzibar lilipitisha makubaliano hayo na baadaye Bunge liliyaidhinisha,” alisema
KAMA MWANASHERIA MKUU WA NCHI ANASEMA HIVI AN UHALALI WOWOTE NA CHEO CHAKE? INATISHA KWA KWELI
 
Back
Top Bottom