mkuu Manyerere Jackton usimalize kwanza huyo muache unatakiwa kufahamu kuwa lowasa ni tishio kwa chadema kwa hiyo lazima waweweseke.
Maana linapo kuja swala la lowasa chadema wana gawanyika! Lowasa ni kiboko ya chadema.
wap mzee malechela?????teh,teh,akili yake imeanza kuchokaa
Chochea Kuni, Chochea Kuni. Kumekucha.
Teh,teh,teh,teh,,,,ha ha ha ha ha ha ha ha! Jamani mbavu zangu mie!
Kumbe Lemutuz ujinga alionao amekopi kwa baba?
Kweli nimeamini ukiwa Mzigo lazima uzae mtoto MZIGO!
Mzee Malecela ni Mzigo ila Lemutuz ni MZIGO zaidi.Huu ndio mwisho wa Ccm baada ya Chadema kuvuka salama kwa Wasaliti sasa ni zamu ya Ccm kwa Mafisadi na mizigo je watavuka salama?
Ben tuheshimiane, ukianza nitamaliza! Jadili kilichopo hapa. Nimeshatoa hadi nyaraka za kina Wangwe, Mbowe, Zitto, na nyingine nyingi; seuze huu uliotolewa na Mgeja? Nina simu za wote, na wote wanaweza kunipa soft copy. Hiyo ndiyo kazi ya mwanahabari hata kama kwako naonekana uchwara. Namba ya Mgeja ni 0754 399353, muombe akupatie hili tamko kama nilivyofanya mimi!
we mfuwa chupi za joyce mukya tulia dawa ikuingie
Hivi kwanini huwa hamjadili hoja mnakimbilia kashfa na matusi? Si lazima uchangie kama huna hoja sana sana utakuwa unajidhalilisha mwenyewe. Wewe toa maoni au mcha ngo wako kuhusu hoja na sio kukashifu wachangiaji. Nikukumbushe tu kuwa Ni bora unyamaze kimya watu wadhani wewe ni mjinga kuliko uongee halafu uthibitishe kuwa wewe ni mjinga. Mkuu ukiona umeanza kutoa kshfa na kutukana ujue kuwa huna hoja sasa kwakuwa unalazimisha unajikuta unatukana au kukashifu kitu ambacho si ustaarabuwe mfuwa chupi za joyce mukya tulia dawa ikuingie
"Mgeja namfananisha kama mbwa aliyetoroka kwa bwana wake usiku kwenda kupandwa kurudi akakuta geti limefungwa"