Tamko kwa Wanaume wa Dar

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,597
5,788
Agizo kwa Wanaume wa Dar toka kwa Wanaume wa Mikoani.

Kumekuwa na Tabia kila msiba unapotokea Dar mnajazana kuja kijijini kuzika...

+Mkifika hamchimbi kaburi.
+Hamumlilii marehemu
+Hamumswalii marehemu
+Hamumfukii marehemu

Mnachokiweza na kukaa na kupiga soga. Mmefanya misiba ni vijiwe vya kuzungumzia siasa.

Sasa tunasema hivi. Msiba ukitokea mbaki huko huko . mkija hakuna mnalofanya..

Mfano:

#1. Hata ukifika muda wa chakula unasikia "Wageni kutoka dar waanze kula kwanza"

#2. Siku moja tupo tunachimba kaburi, Tukaletewa maji ya Kunywa ya chupa.. Mzee mmoja akasema "maji ya kunywa yamenunuliwa kwa ajili ya wageni wa dar tu"

Wanaume wa DAR utawataka kwenye mabasi ya mwendo kasi. Ni dakika 30 tu hadi town. Wanavyokimbilia kuwahi viti ili wakae ni aibu. Wamelegea mno jamani.

Kauli hii imetolewa na:
Umoja wa Wanaume wa Mikoani. Wanaotambua maana ya "Uanaume"
 
Ahahahaha admin shughulikia uzii huu ...maana pia na wewe ni mwanaume wa dar
 
Asante
 
ahahaaa
kitu nawapenda wanaume wa dar ni udhamini wao usio na masharti
udhamini wa riba nafuu
 
Ngoja nipate mlo narudi sasa hivi!
1471100456333.jpg
 
Ujumbe umefika.... Wanaume wa dar wamelegea mno zao kahawa, kubeti na ligi za chips yai
Haaahaaa

Mwanaume wa Dar anakula chips kavu na Bia.

Hapa Moshi naamka na supu ya mkia wa ng'ombe
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Nawasiwasi kama wanaume wadar wataweza kutekeleza agizo la Mh. Raisi la kufyatua halafu yeye asomeshe watoto wote.
 
hiv wanaume wa dar ndo kina nan,wanaoish dar ,au waliozaliwa dar,

kuna wengine wametoka mikoan wamekuja dar kutafuta pesa
wengine wamezaliwa dar na kukulia hapo ila sasa wapo mikoan .na wengine wapo mikoan lakin wanatabia za kiwaki waki.nauliza wanaume wa dar n kina nani
 
Haaahaaa

Mwanaume wa Dar anakula chips kavu na Bia.

Hapa Moshi naamka na supu ya mkia wa ng'ombe
Funga bakuli lako bwege wewe,nyie hamtakiwi kufungua mabakuli yenu,kaeni kimya kabisa wanaume wanapolumbana,umesahau juzi tu mmetoka kututia aibu?wanawake zenu wamevuka boda kutafuta wanaume kwa bamia zenu!!aibu sana hii,narudia tena nyamaza kimya.
 
Agizo kwa Wanaume wa Dar toka kwa Wanaume wa Mikoani.

Kumekuwa na Tabia kila msiba unapotokea Dar mnajazana kuja kijijini kuzika...

+Mkifika hamchimbi kaburi.
+Hamumlilii marehemu
+Hamumswalii marehemu
+Hamumfukii marehemu

Mnachokiweza na kukaa na kupiga soga. Mmefanya misiba ni vijiwe vya kuzungumzia siasa.

Sasa tunasema hivi. Msiba ukitokea mbaki huko huko . mkija hakuna mnalofanya..

Mfano:

#1. Hata ukifika muda wa chakula unasikia "Wageni kutoka dar waanze kula kwanza"

#2. Siku moja tupo tunachimba kaburi, Tukaletewa maji ya Kunywa ya chupa.. Mzee mmoja akasema "maji ya kunywa yamenunuliwa kwa ajili ya wageni wa dar tu"

Wanaume wa DAR utawataka kwenye mabasi ya mwendo kasi. Ni dakika 30 tu hadi town. Wanavyokimbilia kuwahi viti ili wakae ni aibu. Wamelegea mno jamani.

Kauli hii imetolewa na:
Umoja wa Wanaume wa Mikoani. Wanaotambua maana ya "Uanaume"
Usijali soon itakuwa wanaume wa Dodoma
 
Back
Top Bottom