Tamko: Bunge latakiwa lijadili Mkataba wa Richmond, Lugumi, NSSF na home shopping center

Apr 20, 2016
13
17
CZ INFORMATION&MEDIA CONSULTANT LIMITED

PO BOX 100026

DAR ES SALAAM

TANZANIA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

22/04/2016

Ndugu waandishi wa habari za leo,poleni na shughuli zenu za kila siku za kujenga taifa letu tukufu la Tanzania.

Kwanza naanza kumshukuru mwenyezi Mungu kwa mema anayoendelea kuitendea nchi yetu ya Tanzania kubwa,ikiwa kuendelea kutujalia Amani,Umoja mshikamano.

Nianze kwa kumpongeza mhe rais kwa kuonyesha dhahiri aina ya uongozi ambao watanzania tulikuwa tunauhitaji baada ya ule wa awamu ya kwanza wa mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye alikuwa na amekuwa mfano wa kuigwa na viongozi wengi duniani.

Vijana wengi waliozaliwa miaka ya 1980 na 1990 hawakushuhudia aina ya uongozi na mbinu zake Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,na sasa tunashuhudia rais wa awamu ya tano anafanya na kupita kwenye njia zilezile za baba wa taifa mwalimu Nyerere ambazo ndizo hasa zinahitajika kwa hali ya nchi ilipofika sasa.

Taasisi isiyo ya kiserikali (CZI) tunaamini kwamba nchi hii kwa muda mrefu haikuwa na maagizo kutoka juu na kutekelezwa,kiasi kwamba kila mtu alikuwa msemaji.

Taasisi yetu kuna mambo tunayaainisha kwenye taarifa hii ambayo ni matokeo ya uongozi wa awamu ya tano chini ya Mhe rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Joseph magufuli.

1.Sasa tunashuhudia wateule wa serikali hii,wanawajibika na maagizo yao yanatekelezwa kwa kiwango kikubwa.

2.Mtindo wa mhe rais kueleza hadharani sababu za kutengua uteuzi ni moja ya mambo mazuri ambayo watanzania tulikuwa tunayahitaji kwa miaka mingi kwani wengi wamekuwa wanaitia hasara serikali katika taasisi mbalimbali za serikali pamoja na mashirika ya umma.

3.Mhe rais ameondoa mtindo wa uchunguzi,upembuzi yakinifu na kuunda kamati ambazo hazikuwa na tija kwa taifa, na kusababisha leo kuwepo kwa maskini kwa kivuli cha utetezi wa haki za binadamu kwa kujaribu kupata umaarufu wa kupinga kila jambo bila mafanikio.

4.Mhe rais amekuwa anatenda mambo ambayo yana tija kwa nchi na kwa wananchi wa kawaida ambapo kila mmoja anatambua kuwa waliokupa ajira ni wananchi na siyo wanasiasa uchwara wala wabunge na magenge yao ya rushwa,ufisadi, udini,na ukabila.

5.Mhe rais ameonyesha tofauti kwa kuondoa matumizi yasiyo ya lazima na kuelekeza pesa hizo zitumike kwa huduma za jamii kwa wananchi,lakini tunashangazwa kwani hili jambo limeonyesha wanasiasa walivyo wanafiki na wasio na huruma na wananchi wakilalamikia eti wanataka wao kama bunge ndio watoe kibali cha kugawa pesa kwa ajili ya manufaa ya wananchi,kwani wao wanaona fahari kwenda kununua tisheti na kwenda kuangalia nyumba za mabalozi pamoja na safari nje ya nchi,kutibiwa nje na posho za vikao ni bora kuliko kuangalia barabara,hospitali,madawati,nyumba za walimu,uvuvi wa kisasa,na kilimo chenye tija.

6.Mhe rais wa awamu ya tano ameitengenisha familia yake na ikulu na tunashauri kukusihi ulisimamie kwani ulifanya toka kwenye kampeni na umeonyesha kuwa ni kiongozi wa watanzania wote na siyo kiongozi wa familia.

7.Mtindo wa rais wa usimamizi wa fedha umewaumbua wakuu wa mashirika ya umma kuwa wanawajibu wa kuchangia mfuko wa hazina na siyo kama walivyozoea kugawana marupurupu na bonansi za ujanja ujanja,ili mradi kupunguza ziada/faida na wananchi kwa ujumla wake wanakuunga mkono kwa jambo hilo na hatua ambazo raia amekuwa anachukua kwa maslahi mapana ya nchi.

8.Aidha mhe rais ameondoa utaratibu wa madalali ikulu na sasa wameanza kuumbuka na kutafuta sababu za kumtuhumu mhe rais kila siku kwa kisingizio cha bunge kuwa na muhimili unaojitegemea,tunakushauri uendelee na huo utaratibu ili wananchi waweze kufaidi keki ya taifa kwa kila mmoja.

Pia tumeona wafanyakazi wengi wasio na uwezo ,vyeo vya kupeana hususani upande wa wakurugenzi na tunashauri wakurugenzi waajiriwe kwa mikataba na utaratibu huo pia unaweza kutumika kwa wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa wakiwemo maafisa tawala wa mikoa na wilaya,ili kuleta uwajibikaji kwa watumishi wa umma.

Aidha tunamshauri mhe rais pamoja na kuangalia elimu lakini pia aangalie uadilifu,uaminifu,upendo uzalendo wake na uchapakazi wake kwa anayeteuliwa kwani tumeshuhudia vyeo vya kupeana tu jambo ambalo limeondoa umaana wa nafasi zinazotolewa na mkuu wa nchi.

Vilevile tunasema Sababu kubwa hasa ya wale wanaompinga rais magufuli wala hayahusiani na yale anayoyafanya bali ni chuki binafsi waliyonayo dhidi ya rais Magufuli kama binadamu na pili dhidi ya chama chake cha CCM .

Hakuna kitu ambacho rais anafanya na wamuunge mkono,kwa kifupi ni wafuasi wa viongozi waliokosa uadilifu hapa nchini na ambao mwalimu nyerere muasisi wa taifa hili aliwakataa hadharani lakini baada ya kifo chake wakaanza kwenda kinyume na misingi aliyoiasisi kwa maslahi ya nchi na kuanza kujilimbikizia mali wao na familia zao.

Nasasa wanahangaika kuhakikisha kuwa mhe rais wa Tanzania anafeli kwenye mikakati yake ya kuleta maendeleo nchini.

Na sasa tunaona shirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini tucta linapinga mpango wa rais magufuli kwa kukata malipo ya mishahara ya watumishi wa umma kutoka shilingi milioni 40 hadi shilingi 15 milioni kwa mwezi.

SHIRIKISHO LA WAFANYAKAZI TUCTA

Taasisi yetu (CZI) Tumesikitishwa na tamko la Naibu Katibu Mkuu wa TUCTA Hezron Kaaya kupinga hadharani maamuzi anayoyafanya mhe rais kwa maslahi ya nchi.TUCTA badala ya kutetea kima cha chini cha mishahara ya wafanyakazi wao ,wanatetea mshahara mikubwa ili mafisadi waendelee kulipwa milioni arobaini.

TUCTA Kwa miaka mingi wamekuwa wanalalamikia mishahara hewa,mishahara midogo kwa watumishi wa umma leo wamegeuka na kuwa watetezi wa watumishi wanaolipwa mamamilioni ya pesa na kusahau wafanyakazi ambao wanaishi maisha magumu kila sekta.

SISI kama CZ Information&Media Consultant Limited tunawaombea watumishi wote wa umma walipwe mshahara kima cha chini laki tano kwa mwezi mbali na kupunguza kodi pamoja na kuwaongezea pesa ya mazingira magumu,hususani walimu na madaktari.

Aidha TUCTA wanapinga tena hatua za kusimamishwa kazi kwa mawaziri na wakuu wa mikoa na wilaya ambao wamekuwa wanakwenda kinyume na matakwa ya kazi ama sheria za kazi,kinachosikitisha hawa TUCTA kwa miaka mingi wamekuwa wanalaumu namna serikali inavyoendesha nchi na kule kwenye halmashauri wakisema kuna wizi na ufisadi mkubwa, sasa wanapochukuliwa hatua wafanyakazi wasiotimiza wajibu wao ,wanapinga tena.

Ndugu wanahabari kupitia kwenu tunawaomba watanzania wawapuuze hawa TUCTA kwa kuwa wamekuwa wanatumiwa kwa miaka na waliokuwa wanatafuta madaraka ya urais wakiwemo wapinzani na wengi walikuwa wanalipwa na moja ya aliyekuwa anagombea nafasi ya urais kwa tiketi ya UKAWA.

Sisi kama taasisi huru tunamuunga mkono rais wetu JOHN POMBE MAGUFULI kwa hatua anazochukua kwa watendaji wanaokwenda kinyume na maadili ya utumishi wa umma,na tunamuomba mhe rais aendelee na kasi hiyo hiyo ya kuwawajibisha watendaji wabovu kwenye serikali yake.

KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU (LHRC)

Taasisi hii kwa miaka mingi imekuwa inalaumu kuhusu utendaji wa Serikali na wakati kutamka kauli ambazo ni kejeli kwa serikali,cha ajabu leo wanakuja na tamko ambalo linalenga kumkatisha tamaa mkuu wa nchi kwa hatua anazochukua sisi kama taasisi huru isiyo ya kiserikali tunasema LHRC kama kituo cha sheria na haki za binadamu wanapaswa kutenda haki kwa pande zote serikali na wanaotumbuliwa.

Tumeshuhudia ufisadi mkubwa kwenye kila eneo na kusababisha umaskini mkubwa kwa wananchi wa kawaida ,wanafunzi kukaa chini madarasani,wagonjwa kulala mzungu wa nne mahospitalini,miundombinu mibovu,kukosekana kwa mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu,wakina mama wajawazito kujifungulia njiani kutokana na kukosekana kwa huduma bora kwenye vituo vya afya.

Sasa Nao wameungana na TUCTA kumlaumu mhe rais kuhusu hatua hizo tunawaomba watanzania kuwapuuza hawa kwa kuwa miaka yote ndio walikuwa mstari wa mbele kupiga kelele juu ya ufisadi,leo iweje waanze kusapoti wafanyakazi ambao wanafanya kazi kwa ufisadi na rushwa? Hawa LHRC wanatakiwa wawaombe radhi watanzania kwa kigeugeu chao ambapo rekodi zinaonyesha kuwa wamekuwa wanatumiwa kwa kuleta migogoro,vurugu kwa maslahi yao na taasisi yao.

Tunawaomba watanzania wenzetu LHRC wawe na huruma na watanzania na kuacha mara moja kumshambulia mhe rais kwani watanzania waliowengi wana muunga mkono,na kama wanajiona wao ni bora kwenye sheria mbona hawakumkanya maalim Seif Shariff Hamad alivyojitangazia urais Zanzibar wakati anajua anavunja sheria?

Mbona hawakuhoji wakati Chadema wanafanya uteuzi wao kwa viti maalumu kwa upendeleo? Hawakujitokeza kuwatetea wale wakina mama walioonekana wanapinga teuzi za viti maalumu kule tanga.

KONGAMANO LA UMOJA WA WANAFUNZI WA CHADEMA VYUO VIKUU DODOMA (CHASO) NA BAVICHA.

Tarehe 23/04/2016 umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu Dodoma CHASO kwa kushirikiana na BAVICHA wameandaa kongamano ambalo linatarajia kufanyika Dodoma.Sisi kama kama CZ Information&Media Consultant Limited tunaiomba serikali kupiga marufuku kongamano hilo kwa kuwa huenda likawa na vurugu ambazo zinaweza kuhatarisha usalama wa wananchi wa Dodoma mjini na vitongoji vyake.

Tunasema hayo kwa kuwa kwenye kongamano hilo tumegundua mambo kadhaa ambayo yanaweza kuleta uvunjifu wa amani kwani wamepanga kuzungumzia utumbuaji wa majipu unaofanywa na mhe rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli ambapo watatoa maelezo ya kupinga na kuhamasisha wanaosimamishwa kutokubali,watazungumzia juu ya tuhuma za Edward lowasa kuhusu tuhuma ambazo zimekuwa zinaelekezwa kwake kuhusu ufisadi,watazungumzia juu ya mkataba wa Lugumi pamoja na kulaumu wale wote waliokuwa wanamzungumzia Edward Lowasa kama fisadi.

Mgeni rasmi anatarajia kuwa aliyekuwa mgombea urais kupitia UKAWA ndugu Edward Lowasa ambapo pia mwenyekiti wa Chadema,Freeman Mbowe atakuwepo.

NJAMA ZA WABUNGE DHIDI YA RAIS MAGUFULI

Rejea taarifa yetu tuliyongea na Vyombo vya habari jijini Dar es salaam kuhusu wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutaka kumhujumu mhe rais Magufuli tarehe 13/04/2016.

Kama Mtakumbuka ndugu wanahabari wabunge wameanza kumpinga rais kwa hatua zake za kupunguza matumizi ya bunge ama kwa kubana matumizi yasiyo ya lazima na hatimaye pesa zaidi ya bilioni sita zikaokolewa na kupelekwa kwenye miradi ya maendeleo,tayari baadhi ya wabunge wamelalamika na kumkosoa rais kwa hatua hiyo.

Fedha hizo zimepelekwa kwa ajili ya kutengeneza madawati kwenye shule za msingi nchini kote na kazi kukabidhiwa kwa jeshi la kujenga taifa JKT na jeshi la Magereza ambao ndio wamepewa jukumu la kutengeneza madawati hayo.

Wabunge wakihojiwa na waandishi wa habari wameonekana wakipinga bilioni sita kupelekwa kwenye madawati jambo ambalo tulitahadharisha mapema na sasa kimetokea Dodoma kwa wabunge hao kupinga waziwazi pesa kuepelekwa kwenye miradi ya maendeleo tena kwenye majimbo yao ambako ndiko wanawawakilisha wananchi.

SAKATA LA LUGUMI

Taasisi yetu inasisitiza tena kwamba kuna wabunge baadhi wanajipanga kumshambulia waziri wa mambo ya ndani kupitia mkataba wa Lugumi pamoja na ukweli kwamba waziri huyo wa mambo ya ndani imethibitika hakushiriki wala hajui namna huo mkataba ulivyoingiwa na kampuni mbili Tajwa.

Kwa mujibu wa taarifa zilizopo hapa Dodoma wabunge hao wamekuwa wanakutana kwa siri nyumbani kwa mbunge mmoja maarufu na tayari kuna mawasiliano kati ya Aesh Hilaly na Mhe Zitto Kabwe na Saidi Lugumi,kuhakikisha waziri huyo anatajwa kila wakati kwenye vyombo vya habari kama njia ya SAID LUGUMI kujiokoa ama kujinasua kuchukuliwa hatua za kisheria.

Aidha kuna baadhi ya wanamtandao wa madawa ya kulevya,kwa kushirikiana na wale majangiri nao wamekuwa wanakutana kwa siri kuhakikisha inaanzishwa hoja ambayo itamuondoa waziri huyo asiye na makosa yoyote kwenye suala hilo,na tunachoshangaa pamoja na kwamba katika suala hilo wametajwa wengi lakini anayelengwa ni waziri mmoja Charles Kitwanga.

Hii inatukumbusha sakata la Tegeta escrow ambapo waziri aliyelengwa alikuwa profesa Sospeter Muhongo na wenye fedha na matajiri walihakikisha anaondolewa jambo ambalo walifanikiwa na kuondolewa kabla ya rais wa awamu ya tano kumrejesha kwenye nafasi yake.

Tunamshauri na kumtahadharisha mhe rais JOHN MAGUFULI awe makini na wabunge ambao wamekuwa wana anzisha hoja bungeni kwa matakwa yao na familia zao na tunaomba uwapuuze hao kwa kuwa hawana wanachohitaji zaidi ya matajiri wanaohujumu uchumi wa nchi.

Aidha makamu mwenyekiti wa PAC Aeshi Hilaly mawasiliano yake na Zitto kabwe, yanatia shaka dhidi ya Kitwanga na tunamtaka mwenyekiti huyo ambaye ni mfanyabiashara Aeshi Hilaly awe mkweli kwenye suala hilo na tunamuonya aache kutumika kwani anaweza kujikuta katika wakati mgumu kutokana na mapungufu aliyonayo.

Tunamuomba mhe mbunge wa kigoma mjini awambie watanzania lile ghorofa la kigoma ujiji nani amemsaidia fedha za kujenga pamoja na lile soko ambalo alifadhiliwa na rafiki yake mkubwa aliyekuwa mkurugenzi wa NSSF.

Zitto Kabwe mbunge wa kigoma mjini ACT wazalendo alihusika sana kumchonganisha profesa Muhongo lakini nyuma ya pazia yeye na wenzake walikuwa wanafanya kwa matakwa ya watu na sasa anataka kurejea tena kupitia kitwanga ili aweze kujinufaisha na wauza dawa za kulevya na majangili pamoja na majambazi,

Mwisho sisi kama taasisi huru tunaomba bunge hili lijadili wizi uliokuwa unafanyika kwenye mfuko wa hifadhi ya Jamii NSSF na miradi ambayo ilikuwa inafanyika pale kwa ufisadi mkubwa,lakini pia bunge hilo lijadili ule ufisadi wa bilioni 179 zilizopotea kwenye ule mradi wa daraja la Kigamboni,sambamba na ule ununuzi wa heka moja kule Arusha ambayo ilinunuliwa na NSSF kwa milioni mia nane.

Pili tunaomba bunge lirejee kujadili mkataba wa Richmond uliopelekea kujiuzuru kwa aliyekuwa waziri mkuu ndugu Edward Lowasa na suala hilo lifikishwe kwenye mahakama ya mafisadi itakapoanza.

Tatu tunashauri serikali ifuatilie kampuni ya Lugumi interprises kuanzia Brela hadi TRA na namna ilivyokuwa inapata mikataba harakaharaka pamoja na udogo wake na wale wahusika wa kampuni hiyo wachukuliwe hatua za kisheria ikithibitika.

Nne Tunaomba Bunge hili pamoja na kamati ya PAC lijadili kampuni ya home shopping center ambayo ilitangaza kufilisika na serikali ijirizishe juu ya kuanzishwa kwake na utajiri iliokuwa nao na wahusika wote waitwe na kuhojiwa kwa maslahi mapana ya nchi yetu.

------------------------------------------------------------------------------
Imeandaliwa na Gaudency Tungaraza

Meneja mahusiano CZI
 
ha ha uoga wa magufuli umepitiliza kwa hiyo anatengeneza vikundi vya propaganda ili yeye ndio aseme na kutuswaga kama mbuzi wananchi tusiwe na maoni hivi vikundi vya maigizo hata Kikwete alikuwa navyo yetu macho michezo hii ya kijinga itawasababishia hasara wenyewe kisiasa wnanchi wa leo ni waelewa asitegemee TISS kuingia kwenye bongo za wananchi proganda hizi za kichina zilishapitwa na wakati
 
UNGEONGEZA NA SERIKALI IIPE FEDHA ZA KUTOSHA OFISI YA CAG ILI IWEZE KUADIT MIFUKO YOTE YA JAMII IKIWEMO NHIF KWANI PESA ZINAPIGWA SANA
 
Daaah kakongamanao ka vijana wa chaso dodoma kumbe nayo kanawatia jamaa jamaa eeeh, pole yenu mmeanza kuona magu watu wanamuattack sanaa sasa mnataka kupita mlango wa nyuma kujibebea vyeo
 
TUCTA ndo nini? waje watuelezee utendaji wao na ni jinsi gani unaisaidia nchi sio kujiingiza kwenye siasa,
 
Mie nimeishia no 3 baada ya kusoma et mh. Rais ameondoa mambo ya uchunguzi na upembuzi yakinifu.ndugu mbona wote waliotumbuliwa tunaambiwa wanapisha uchunguzi? ni upi huo ? Ili barabara ijengwe ni lazima pawepo na upembuzi yakinifu je Barbara ipi au mradi UPI mkubwa ukajengwa pasipo upembuzi yakinifu.Rudi ukajipange SIFA za ukuu Wa wilaya bado saaaana
 
Nimesoma mpaka mwisho na nilichogundua Magu kajichanganya mwenyewe kwa kutoa vyeo kama fadhila kwa wale wanaojipendekeza kwake. Nilitaraji wangeomba hata bunge lionyeshwe live ili wananchi tujue mbivu na mbichi. Pia nilitarajia kuona wanamuomba rais apitie ile mikataba ya siri aliyoingia JK na wachina na kuweka hadharani. Hivi vikundi vya propaganda ndio vitapoteza muelekeo mzuri alioanza nao JPM.
 
Back
Top Bottom