TAKUKURU: Askofu na Viongozi Wakuu wa Kanisa la Avengelical assembless of God (EAGT) wachungunzwa kwa rushwa

Nyakati saba za kani zinaongea, kwamacho yenu mtaliona kanisa likiondoka lenyewe katika ulingo wa dini kwani hawa ndiyo wanaomwakilisha Yesu yule kijana wa kizungu mwenye macho ya bluu kutoka Nazareti.
Kwani viongozi wa Mungu kuwa wezi, mafisadi, wakwepa kodi hii sijui kwani Yesu na mambo yake yote alipeleka sadaka kwa Kaisalia.
 
Ni bahati mbaya kwamba mengi yanayosemwa kuhusu mgogoro ndani ya TAG na kuanzishwa kwa EAGT undani wake wanaoujua ni Hayati Mzee Moses Kulola na Mzee Emmanuel Lazaro wa TAG Calvary Temple Moshi. Lakini Ukiangalia kwa undani ule mvutano wa Kimahakama kati ya makundi mawili ndani TAG mwishoni kwa miaka ile ya 1980 na uanzishwaji The so called " Cults" Ministry kama Deeper Life chini ya John Addo, Full Gospel chini ya Kakobe, Efatha Ministry chini ya Mwingira etc utaona yamkini Shetani aliingiza roho ya Ubinafsi ndani ya Kulola na Lazaro ili " Agenda" yake ipate upenyo hapa Tanzania.

Hebu angalia, baada ya TAG kugawanyika kilichofuata killkuwa kifo cha " The Big September/November Crusade" mikutano ambamo watu wengi waliokoka. Nilibahatika kukutana na mmoja wa viongozi wa The Big Septembe/November Crusade pale Jengo LA Vijana ambaye baada ya kutoka katika mkutano wa Deeper Life Kule Nigeria, aliamua kujiengua na The Big Septembe/November Crusade na kwenda kuwa mchungaji.

Nipo tayari kukosolewa (Naomba muangalie issue kwa mapana zaidi)

Ahsante
Uko sahihi bro yaani the devil ana bonge la tabasam kwa bifu alillianzisha. Mi naona walioamua kuhama TAG walimfungulia mlango ibilisi. Wangemwachia Mungu tu kila kitu kingekuwa wazi.
 
Lakini umeshindwa kusaidia kuunyosha huu mjadala. Na nina uhakika sitakuwa nimekosea nikiandika hapa kuwa wewe huyafahamu vizuri haya mambo!
Unaweza kumzuia ndege kuweka kiota juu ya kichwa chako,lakini huwezi mzuia kuruka juu ya kichwa chako. So nadhani una haki ya kuamini hivyo na mimi nina haki ya kukuruhusu uamini unacho amini.
 
Unaweza kumzuia ndege kuweka kiota juu ya kichwa chako,lakini huwezi mzuia kuruka juu ya kichwa chako. So nadhani una haki ya kuamini hivyo na mimi nina haki ya kukuruhusu uamini unacho amini.
Umeshindwa kujibu maswali niliyokuuliza. hata suala la majengo ni wazi kwamba hujui mambo mengi. Brother, usitishwe na tuhuma. kale kakikundi ka wachungaji ni wahuni tu, wote wahuni wale unaposema baadhi yao mimi nabaki kushangaa tu. Wale ni wahuni tupu!
 
Mkuu, usidanganye, huyo msukuma unajua kaanza uchungaji lini? Na huyo mtoto ana umri gani? By the way sio mmoja, wapo kadhaa; au wewe unamzungumzia Happines!? Huyo msukuma alikwenda hadi mahamani na anakishindwa baada ya Mwakipesile kuthibitisha hayo; ukiangalia maisha ya uchaji Mungu wa hao wote walio upande wa huyo Msukuma, most of them wana scandle kwenye utumishi wao. Ukitaka nitakutajia hata na majina yao, kua upande wa huyo msukuma ni kudhalilisha sana Ukristo; Mwakipesile analalamikiwa na watu ambao hawana maadili ya Kimungu kabisa, anyway, si mambo yapo Takukuru? Takukuru wakileta mrejesho humu, utashangaa hadi mzee Kulola anahusika na MWakipesile as a person utaona yupo clear. Mwogopeni Mungu nyie
Well said mkuu!
 
Chabusalu:
Tatizo ni la kiuongozi na kukosa transparency.
1. Katika mikutano mikuu yote ndiko ambapo maswali na hoja zozote hujibiwa. Jambo hilo halifanyiki. Mara nyingi ikitokea hoja yoyote ambayo inagusa uongozi haijibiwi na unaamulishwa kukaa chini.
2. Kuhusu magari tupeane mawasiliano njoo nikuonyeshe ushahidi.
3. Taasisi yoyote huwa ina TIN namba moja njoo nikuonyeshe Tin namba 5 za dhehebu hili ambazo zimetumika.
4. Kuhusu majengo tangu yamenunuliwa na kukodishwa hakuna taarifa yoyote ya mapato wala matumizi. Na mengine mengi.
Kwa taarifa yako siongei hadithi ya kusimuliwa, mimi ninajua nina chokisema
Ndo maana nimekwambia kama kweli unataka ukweli na ushahidi wa jambo hili nitafute.
Umenikumbusha padri kimaro na kivulana
Pia kanisa Safi lilivyookoa maisha huko rwanda
 
Mkuu uko sahihi sana.
Mimi ni muumini wa dhehebu hili, hatukuwa na roho ya matengano kabisa hasa kipindi cha askofu Kulola. Msisitizo ulikuwa injili ndiyo maana kanisa hili likakua kwa kasi sana.
2. Lakini tulikuwa na ombre la uongozi mzee alikuwa busy na injili tu, hivyo kukaingia wajanja wajanja. Hivi sasa wachungaji walio wengi hawajaitwa wamekuja kupiga deal tu ndo kwa maana haya yote yanajitokeza.
Wasukuma sijui wana shida gani na masuala ya elimu; mwaka 2006 nilikua Mwanza, mwaka 2005 walifanya uchaguzi wa viongozi wao wa jimbo, walimchagua mzee mmoja hivi anaishi mitaa ya Bugando, simkumbuki jina lake but nadhani yule mzee ni mwenyeji wa mkoa wa Mara, ni kabila moja na mwl Nyerere if i am not mistaken, kuna mchungaji mmoja alikua anapiga friend match na wadada, huyu askofu akamuwajibisha; huyo mchungaji nae alikua msukuma but kabla ya hiyo adhabu kutolewa, huyo Mzanaki wa watu alikua amewajengea imani wachungaji wenzie kwamba lazima tujenge shule ya sekondari sisi kama jimbo, wakanunua kiwanja mitaa ya Buhongwa kule; baada sasa kumuwajibisha huyu mchungaji ambaye alikua anazini zini hovyo na wanawake, Wasukuma wenzie wakamshtaki kwa mzee Kulola, mzee kulola sijui alidanganywa nini kumuhusu huyu Mzanaki, mzee akamnyang'anya uongozi, Mwanza ikazimika; nakumbuka walifanyaga mkutano pale Furahisha, Mzee Kulola ndio muhubiri, mkutano ulikua mgumu sana, makanisa yalikua yana mtazamo tofauti juu ya hatua alizozichukua mzee Kulola dhidi ya yule Mzanaki wa watu; mwishoni yule mchungaji aliyetengwa akakutwa kaachana kabisa na mambo ya Imani, but moja kati ya shutuma alizopewa huyu Mzanaki ni kwamba eti anaachangisha ili wajenge shule, mradi wa shule ukafia hapo; nashangaa tena wamewashtaki kina Mwakipesile kwa issue ya shule tena; Wasukuma mna aleji na ELIMU!?
 
Mkuu
Makamu askofu Mkuu Mahene yeye ndiye alikuwa wa kwanza kuibua hoja ya ubadhilifu. Katika kuhoji mambo kadhaa akazuliwa kuwa yeye ni mnzinzi hivyo afukunzwe na Mwakipesile akafanya hivyo.
1. Tulimwuliza Mwakipesile adhibitishe tuhuma hizo akadai kuwa kuna nabii ameonyeshwa na Mungu. Na siyo tu kuonyeshwa na Mungu nabii huyo akadai kuwa amemrekodi Mungu wakati akisisitiza kuwa Mahene hafai kuwa makamu. Katika minutes alizo andika katibu mkuu Mwizarubi ameandika hivyo. ( ushahidi ninao wa minutes hizo).
2. Kuhusu issue ya ukabila, dhehebu hilo limekuwa kama makabila mawili ndo yenye hati miliki (i) Wasukuma ( ¡¡) Wanyakyusa, Tangia mwanzo. Nguvu ya wazee wa kinyakyusa ilianza kutokana na mchango mkubwa waliokuwa nao kwa Askofu Kulola hasa wakati wa mgogoro wa kwanza.
1.Askofu M.Kulola- msukuma
Makamu M.Mwamwenda- nyakyusa
Katibu: Ngobito - mgogo.
2. Awamu nyingine:
Askofu M.Kulola - sukuma
Makamu M. Mwamwenda
Katibu M.Mhina- Tanga
M/Hazina E. Andrew- Msukuma.
3.Awamu nyingine tena:
Askofu M Kulola- sukuma
MakamuA. Mwaisabila- nyakyusa
Katibu B. Mwakipesile- nyakyusa
Unaweza kupata picha ya uongozi huo.
Kwenye uongozi huu wa mwisho
4.Askofu B. Mwakipesile- Nyakyusa
Makamu J.Mahene- Sukuma
Katibu L.Mwizarubi- kerewe.
Hivyo ukiacha awamu tatu za mwanzo hii ya nne imepunguza ukabila kwa sehemu.
Hivyo tukizungumzia ukabila upoupo lakini issue ilikuwa baada ya kuhoji ubadhilifu ambao umefanyika wakati wote askofu Mwakipesile akiwa ni kiongozi wajuu. Inasemekana ili kukata mzizi wa fitina askofu alicante mbinu za kumwengua/ kutemwa makamu wake kama ulivyo sema, jambo hilo lilipingwa na mahakama ilitengua maamuzi hayo.
Hii ni stori ndefu:
Lakini kwa kifupi, Mgogoro huu ni wa kiuongozi na mbinu za kuficha baadhi ya matendo hasa yale yasiyo na maadili.
Watu wenye mapenzi mema walishauri uongozi wote ukae pembeni na tupate viongozi wa muda walinusuru dhehebu lakini always ukubwa ni mtamu.
Nimejitahidi kueleza kwa kirefu ili kwa wale wasiojua angalau wawe na mwanga.
Alianza lini? Si ni baada ya yeye kuambiwa akae pembeni kwa shutuma alizokua nazo? Hivi hizi issues za magari, unajua kwamba Mahene alipeleka mahakani na akashindwa kuthibitisha? Mwakipesile alileta ushahidi wake na huyu jamaa nae pia, mwishoni TRA hawakuoan tatizo. Nisingependa kueleza yaliotokea mahakamani cause nitamzalilisha sana mzee Mahene, jambo ambalo silipendi sana. Hivi unajua hao watu walikwenda hadi kwa waziri wa mambo ya ndani na huko wakaomba waruhuiswe kusajiri dhehebu lao? Hujui mengi kuwahusu hao wazinzi mkuu. Nawafahamu mmoja mmoja, kuanzia Geita hadi Dodoma huko, MWanza ndio usiseme; wakati Mahene kasimamishwa unajua pia tena alifumaniwa na mke wa mtu na akalipa laki 6??? Mahene ndio man of this match, sio msafi, hafai kua hata shemasi, achilia mbali uchungaji na uaskofu, by the way yeye mwenyewe aliridhia kuachia hadi uchungaji kwenye kikao chao, alikuja badirika baada ya kufika Mwanza na hasa baada ya yeye kuonana na mchungaji mmoja ameoa binti yake, huyu mchungaji tayari hadi kanisa kaliachia yeye mwenyewe na mzee Mutashi yule gwiji wa usalama wa taifa ndio analichunga kwasasa; una jingine mkuu!?
 
Mkuu kwa kiasi kikubwa makanisa yanayoitwa ya kiroho yote yana matatizo,hakuna lililo salama,kwa hivyo hili LA EAGT wala halishangazi.Ukienda kwa mfano kwenye kanisa la Askofu Mtokambali Muembe Songo, utagundua mambo ya ajabu sana.Nalizungumzia hili specifically kwa kuwa Askofu wa TAG ndilo Kanisa lake,so I expect it to be best.Ila kinyume chake kanisa limejazwa taratibu za kidunia ambazo ni foreign kwa watu wa kiroho!

Zoe FM ambayo nilitegemea kusikia mahubiri mazuri,vipindi vya nyimbo za Injili safi na tenzi za rohoni,nayo ina air vipindi vya kawaida za dunia kama mipira.Katika hali ya kushangaza,eti nao wanapiga sebene la Yesu,Yesu ana Sebene!Aibu tupu.Ni kumdhalilisha tu Yesu wangu.Yaani wameshindwa kabisa kujua kwamba Shetani ana rythym zake na Mungu ana rythym zake.The funny thing is,Askofu yupo hapo hapo,sijui haoni Radio yake inavyo-dilute spirituality!

Frankly niwe mkweli,yanayojiita makanisa ya kiroho it is over,Roho Mtakatifu ameshaondoka,imebaki mazoea ya kuigiza kuongea kwa lugha ya Roho Mtakatifu tu.Ni dini tu sasa.Hata hivyo naamini katika kiza hiki kinene cha kiroho,Mungu hatanyamaza,atafanya jambo jipya.
Bro n ndio "chekeo" ,linaanza ili ibaki " cream" si alisema " magugu yaachwe" kuna magugu kibao na mbegu safi zipo pia. Filtering itaanzia hapa hapa duniani yaani watu wooooote watajua huyu anasema yuko hivi kumbe tapeli na huyu kweli mtu wa Mungu.

We tulia subiri mwisho wa movie.
 
Alianza lini? Si ni baada ya yeye kuambiwa akae pembeni kwa shutuma alizokua nazo? Hivi hizi issues za magari, unajua kwamba Mahene alipeleka mahakani na akashindwa kuthibitisha? Mwakipesile alileta ushahidi wake na huyu jamaa nae pia, mwishoni TRA hawakuoan tatizo. Nisingependa kueleza yaliotokea mahakamani cause nitamzalilisha sana mzee Mahene, jambo ambalo silipendi sana. Hivi unajua hao watu walikwenda hadi kwa waziri wa mambo ya ndani na huko wakaomba waruhuiswe kusajiri dhehebu lao? Hujui mengi kuwahusu hao wazinzi mkuu. Nawafahamu mmoja mmoja, kuanzia Geita hadi Dodoma huko, MWanza ndio usiseme; wakati Mahene kasimamishwa unajua pia tena alifumaniwa na mke wa mtu na akalipa laki 6??? Mahene ndio man of this match, sio msafi, hafai kua hata shemasi, achilia mbali uchungaji na uaskofu, by the way yeye mwenyewe aliridhia kuachia hadi uchungaji kwenye kikao chao, alikuja badirika baada ya kufika Mwanza na hasa baada ya yeye kuonana na mchungaji mmoja ameoa binti yake, huyu mchungaji tayari hadi kanisa kaliachia yeye mwenyewe na mzee Mutashi yule gwiji wa usalama wa taifa ndio analichunga kwasasa; una jingine mkuu!?
Acha hadithi za alinacha naomba unipe ushahidi mimi nimekuahidi ushahidi ninao.
Mutashi anachunga kanisa gani?. Acha kudanganya wasio jua nani mchg Bugando.
Naomba hukumu ambayo mahene alishindwa, tuonyeshe umma yako na ya kwangu ipi sahihi? Jaji gani alihukumu.
Acheni kudanganya watu waambieni ukweli.
 
Wasukuma sijui wana shida gani na masuala ya elimu; mwaka 2006 nilikua Mwanza, mwaka 2005 walifanya uchaguzi wa viongozi wao wa jimbo, walimchagua mzee mmoja hivi anaishi mitaa ya Bugando, simkumbuki jina lake but nadhani yule mzee ni mwenyeji wa mkoa wa Mara, ni kabila moja na mwl Nyerere if i am not mistaken, kuna mchungaji mmoja alikua anpiga friend match na wadada, huyu askofu akamuwajibisha; huyo mchungaji nae alikua msukuma but kabla ya hiyo adhabu kutolewa, huyo Mzanaki wa watu alikua amewajengea imani wachungaji wenzie kwamba lazima tujenge shule ya sekondari sisi kama jimbo, wakanunua kiwanja mitaa ya Buhongwa kule; baada sasa kumuwajibisha huyu mchungaji ambaye alikua anazini zini hovyo na wanawake, Wasukuma wenzie wakamshtaki kwa mzee Kulola, mzee kulola sijui alidanganywa nini kumuhusu huyu Mzanaki, mzee akamnyang'anya uongozi, Mwanza ikazimika; nakumbuka walifanyaga mkutano pale Furahisha, Mzee Kulola ndio muhubiri, mkutano ulikua mgumu sana, makanisa yalikua yana mtazamo tofauti juu ya hatua alizozichukua mzee Kulola dhidi ya yule Mzanaki wa watu; mwishoni yule mchungaji aliyetengwa akakutwa kaachana kabisa na mambo ya Imani, but moja kati ya shutuma alizopewa huyu Mzanaki ni kwamba eti anaachangisha ili wajenge shule, mradi wa shule ukafia hapo; nashangaa tena wamewashtaki kina MWakipesile kwa issue ya shule tena; Wasukuma mna aleji na ELIMU!?
Kwanza kwa mtu aliye na Common sense atajua kuwa unaokota taarifa usizojua au unapewa hadithi na kisha una fabricate.
Utaandikaje eti" mzee mmoja unayedhani ni mzanaki"? Kwa nini huja research taarifa yako ukajua jina na unaandika nini. Huo ndio watu wazima wana uita uzushi.
 
Wachungaji wengi wanaolalamika ni wa kanda ya ziwa, wasukuma.

Hao wachungaji ni wanafiki, mbona hawakusema toka zamani kuna ubadhirifu mkubwa kanisani hadi wagombane kwenye vyeo ndio waje kusema kuna TIN tano sijui ujinga gani, kama wao ni waadilifu na waaminifu mbona hawakusema mapema hilo hadi mgogoro wa uongozi utokee ndio walalamike?

Binafsi sio muumini wa dini yoyote maana najua Mungu hayupo ingawa nina historia ama najua historia pana ya makanisa na madhehebu mbalimbali hapa Tanzania.

EAGT ndio kwanza wamefugua milango ya migogoro, wanarudi kule kule kwa muasisi wao Kulola alipoanzisha mgogoro na TAG akahama kanisa na kung'ang'ania majengo ya TAG, wanaelekea kule kule.

Halafu TAKUKURU mbona waislamu wanailalamikia bakwata kila uchwao hatijawahi kusikia viongozi wa bakwata wamehojiwa?
BAKWATA = CCM
 
Nina extensive knowledge and experience na makanisa pamoja na migororo yao hapa Tanzania.

Kusema nadandia jambo ni kuonekana tu umepaniki na facts chache nilizozitoa kwenye mada hapo juu.

Huu mgogoro wa EAGT wa sasa umekaa kikabila na pia tamaa ya uongozi, hakuna jipya na naweza kukutajia wahusika wakuu wa huu mgogoro upande ulioathirika/walalamikaji na ukaelewa nachokisema hapa.

Anyway, labda wewe utusaidie unachokijua ili sisi tusiojua tuone kweli tunadandia mambo.
Mkuu tafadhali naomba unitajie hao wahusika hasa katika mgogoro huu na kwasasa una taswira gani
 
Kwanza kwa mtu aliye na Common sense atajua kuwa unaokota taarifa usizojua au unapewa hadithi na kisha una fabricate.
Utaandikaje eti" mzee mmoja unayedhani ni mzanaki"? Kwa nini huja research taarifa yako ukajua jina na unaandika nini. Huo ndio watu wazima wana uita uzushi.
Anaitwa Kuguru; nimeulizia watu wa Mwanza. Sema lingine
 
Acha hadithi za alinacha naomba unipe ushahidi mimi nimekuahidi ushahidi ninao.
Mutashi anachunga kanisa gani?. Acha kudanganya wasio jua nani mchg Bugando.
Naomba hukumu ambayo mahene alishindwa, tuonyeshe umma yako na ya kwangu ipi sahihi? Jaji gani alihukumu.
Acheni kudanganya watu waambieni ukweli.
Umepaniki bro haa ha ha ha; tusubiri majibu ya TAKUKURU
 
Wachungaji wengi wanaolalamika ni wa kanda ya ziwa, wasukuma.

Hao wachungaji ni wanafiki, mbona hawakusema toka zamani kuna ubadhirifu mkubwa kanisani hadi wagombane kwenye vyeo ndio waje kusema kuna TIN tano sijui ujinga gani, kama wao ni waadilifu na waaminifu mbona hawakusema mapema hilo hadi mgogoro wa uongozi utokee ndio walalamike?

Binafsi sio muumini wa dini yoyote maana najua Mungu hayupo ingawa nina historia ama najua historia pana ya makanisa na madhehebu mbalimbali hapa Tanzania.

EAGT ndio kwanza wamefugua milango ya migogoro, wanarudi kule kule kwa muasisi wao Kulola alipoanzisha mgogoro na TAG akahama kanisa na kung'ang'ania majengo ya TAG, wanaelekea kule kule.

Halafu TAKUKURU mbona waislamu wanailalamikia bakwata kila uchwao hatijawahi kusikia viongozi wa bakwata wamehojiwa?
Inasemekana tunapata taarifa mtu anayoipata mara nyingi ni maamuzi ya mtu mwingine kuamua

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
 
Wachungaji wengi wanaolalamika ni wa kanda ya ziwa, wasukuma.

Hao wachungaji ni wanafiki, mbona hawakusema toka zamani kuna ubadhirifu mkubwa kanisani hadi wagombane kwenye vyeo ndio waje kusema kuna TIN tano sijui ujinga gani, kama wao ni waadilifu na waaminifu mbona hawakusema mapema hilo hadi mgogoro wa uongozi utokee ndio walalamike?

Binafsi sio muumini wa dini yoyote maana najua Mungu hayupo ingawa nina historia ama najua historia pana ya makanisa na madhehebu mbalimbali hapa Tanzania.

EAGT ndio kwanza wamefugua milango ya migogoro, wanarudi kule kule kwa muasisi wao Kulola alipoanzisha mgogoro na TAG akahama kanisa na kung'ang'ania majengo ya TAG, wanaelekea kule kule.

Halafu TAKUKURU mbona waislamu wanailalamikia bakwata kila uchwao hatijawahi kusikia viongozi wa bakwata wamehojiwa?

Ukome, ukome na ukome kumwita "muasi" mtu aliyepakwa mafuta na Mungu. Who are you to judge the man of God? Wewe umepeleka nafsi gani kwa Kristo Yesu? Who gives you audacity to speak evil against the anointed of God if not the devil himself? Repent!.
 
Back
Top Bottom