Taifa stars iitwe Nyerere boys labda tutatoboa AFCON

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,152
USHAURI TU
Nimeeona leo vijana wa Karume Boys wa un 15 waliyotoboa uganda na kutwaa ubingwa

Ukiacha kucheza kwa jihadi vijana walikuwa wakisikiaaa karumeee wengine wanaaita boys wakawa kama wehu uwanjani uganda waliona hii vita isiwe taabu twende matuta

Matutaa Karume Boys mabingwa congs sana vijana naamini ile michango mliohaidiwa hakuna middle man atawapiga hapo kati congs znz

Tuje kwa ndugu zetu waliowahi kupewa kichwa cha mwendawazimu ni ushauri tu nahisi majina ya wazee wetu yana nguvu kubwa

ifiike wakati sasa tuachane na Taifastars tuite

NYERERE BOYS..

Hata tukiwa nje rahisi wapinzani kuwa waoga wakisikia Nyerere boys wameshatua airport kupambana nao

Tff wakati muafaka sasa tushachoka taifastars na matokeo yake
 
Hata Zambia wakati timu yao ya taifa ikiitwa KK BOYS/KK ELEVEN ilikua moto sana.
Kwa wale wa 2000 KK ni Kenneth Kaunda ( Nyerere wa Zambia).
 
USHAURI TU
Nimeeona leo vijana wa Karume Boys wa un 15 waliyotoboa uganda na kutwaa ubingwa

Ukiacha kucheza kwa jihadi vijana walikuwa wakisikiaaa karumeee wengine wanaaita boys wakawa kama wehu uwanjani uganda waliona hii vita isiwe taabu twende matuta

Matutaa Karume Boys mabingwa congs sana vijana naamini ile michango mliohaidiwa hakuna middle man atawapiga hapo kati congs znz

Tuje kwa ndugu zetu waliowahi kupewa kichwa cha mwendawazimu ni ushauri tu nahisi majina ya wazee wetu yana nguvu kubwa

ifiike wakati sasa tuachane na Taifastars tuite

NYERERE BOYS..

Hata tukiwa nje rahisi wapinzani kuwa waoga wakisikia Nyerere boys wameshatua airport kupambana nao

Tff wakati muafaka sasa tushachoka taifastars na matokeo yake
Kwanza una uhakika kama hao vijana ni under 15 kweli?
 
Tumia akili kufikili. Mpira na siasa wapi na wapi halafu ulivyomjinga eti wapinzani wakisikia jina la nyerere wanaliogopa. Ucha uzwazwa, hivi unajua nyerere ndio sababu la hili taifa Kuwa masikini??
 
USHAURI TU
Nimeeona leo vijana wa Karume Boys wa un 15 waliyotoboa uganda na kutwaa ubingwa

Ukiacha kucheza kwa jihadi vijana walikuwa wakisikiaaa karumeee wengine wanaaita boys wakawa kama wehu uwanjani uganda waliona hii vita isiwe taabu twende matuta

Matutaa Karume Boys mabingwa congs sana vijana naamini ile michango mliohaidiwa hakuna middle man atawapiga hapo kati congs znz

Tuje kwa ndugu zetu waliowahi kupewa kichwa cha mwendawazimu ni ushauri tu nahisi majina ya wazee wetu yana nguvu kubwa

ifiike wakati sasa tuachane na Taifastars tuite

NYERERE BOYS..

Hata tukiwa nje rahisi wapinzani kuwa waoga wakisikia Nyerere boys wameshatua airport kupambana nao

Tff wakati muafaka sasa tushachoka taifastars na matokeo yake
Taifa stars will be the best name for Tanzania national team
 
Back
Top Bottom