William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Thread starter
- #101
Kinachoonekana hapa ni kupiga chapuo. Ngoja tuwe wakweli bila kumun'unya maneno, hakuna mtu aliye ccm leo anayefaa kuwa Raisi wala waziri tena baada ya 2015. Tunahitaji kubadili mwelekeo kama ccm walikuwa wanatupeleka magaharibi basi tunahitaji Raisi na mawaziri watakao sema nyuma geuka mbele tembea yaani kuelekea mashariki. Mpaka sasa wapinzani ndiyo angalau wanaonekana wanaweza kufanya hili, tumeshudia bungeni, tumeona dhamira zao kwa vitendo hivyo ni bora ku risk kuwapa nchi wapinzani kuliko kuendelea kwenda shimoni na haya magamba period
- Sio viongozi wote wa CDM au CCM wanaofaa, ndio maana tunaenda na majina badala ya vyama, pia tukijali sana kwamba huenda by 2015 tukawa na wagombea binafsi!
Willie @ NYC, USA.