Mghoshingwa
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 305
- 73
wapi sasa??kivuko cha wapi??
soma title vizuri!
wapi sasa??kivuko cha wapi??
Naona Moshi na Arusha unakuhanya sana! Tunga sheria sehemu hizo zisiwe sehemu za Tanzania ili upate raha!Itakuwa mara yako ya kwanza kupanda Feri wewe, umezoe mabasi ya kwenda Moshi
tukiwa katikati ya kivuko kidogo yameibuka mawimbi ya ajabu na kukaribia kumwaga abiria vikatokea vilio na taharuki