TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

Katika vitu vya kijinga kwenye relaionship ni kutikisa kibiriti karibu na petrol, na huwa sifanyagi hayo NEVER maana mimi mtu akinitishia kuniacha huwa ndo bye bye sibembelezi hata kama nimefika bei. Kwa kulitambua hilo huwa nikiamua kuachana na mtu normally huwa siagi wala sijielezi yani huwa ni kimyaaaaaaaaaaaaaaaaa...
Sipendagi vitisho vya kimapenzi na huwa simfanyii mtu vitisho
Daa mi kuna bibie alikua akitisha kuondoka namwambia nenda afu akikaa cku mbili nammisi, apo naandika insha kama tano za kubembeleza
 
Wewe ni mnafiki....ulimfanyia hayo yote ili upate kitu fulani...u ddnt do all those u claim to have done for the sake of love...last time I check if u do something for love u dnt keep records...jamaa hajawa mnafiki amekuwa real so u r either in or out. .stop bitchin and whinin...
98% ya wanawake wako hivyo mkuu
 
yupo humu muda woteeeee sijui hata kama kazi anafanyaga ipasavyo maana ni addict wa JF kitu ambacho pia kinanikwaza mno...yani hapa si ajabu anasoma comments anasubiri kulianzisha home ha ha ha ha ha inabidi nicheke wallah si kwa chaka hili nililoingia.....yani maisha yake ni JF,Movie za kinigeria na sex mara 4 per day....yani kuna kipindi hata story tulikua hatuna. Kupigiwa simu nimeshasahau wakati zamani ilikua napigiwa simu hadi chaji inaisha lakini siku hizi wapiiiiii....mwanzoni nilijitahidi kuwa napiga badae nikaona upuuzi. Hata mwanzoni nilikua najitahidi naamka kumuandalia walau kasupu ka ndizi lakini kuna siku akaniambia yeye hana haja ya kupikiwa, yeye shida yake K.u.M.a TU! Basi na mie nikaacha, jana akawa analalamika simjali kama kala au lah! Lugha ya mapenzi hana halafu anategema nimfulie Boxers zake! siku hizi naziangalia tu
Jeuri sna wewe! Jamaa nae kazoa Mzoga ulioshindikana, angekuja humu kujitetea wenvi watatokwa chozi.
 
Duh! Honestly nlipata umu m1 mtu ana 35 analazmisha mzae afu hatak kwenda home nkamwambia kwendraaaaa
Inabd tuwage makin maana ukijiona mpweke saana unaweza angukia pua
Pole mwaya
 
Duh! Honestly nlipata umu m1 mtu ana 35 analazmisha mzae afu hatak kwenda home nkamwambia kwendraaaaa
Inabd tuwage makin maana ukijiona mpweke saana unaweza angukia pua
Pole mwaya
Pole na wewe, maana huyo mbaba alitaka kukugeuza 'inkyubeta' lol.
 
Hata mimi huwa naliwaza mno hilo suala, maana nahisi inaweza tokea siku akanifurumusha nje....Nachomlaumu ni kwamba, nilimsisitizia mno kwamba ayamalize na mkewe kabla hajamove on na mtu mwingine.... kidesign moyoni naona kama hatutafika mbali maana ni shida mno aiseeee....sasa why hakumbembelez mkewe arudi kama kweli she was that good. Naamini ningeweza pata mwanaume ambae hajawahi funga ndoa yeyote ile na ndicho alichoniambia mwanzoni maana alishapataga msichana mwingine humuhumu wakaa like 3 days lakini huyo dada alimkimbia baada ya kugundua jamaa ana ndoa halali kabisa. Yeye alijua labda jamaa alikua anaishi tu kisela na mwanamke kumbe alioa rasmi. Hata mimi mwanzoni nilijua huyo mwanamke alikua anaishi naye kisela tu kumbe ilikua ndoa rasmi. Hii kitu inanitesa mno aiseee maana naona kama vile natumika kupotezea mawazo tu then badae akishatulia anibwage ....lakini hata ikitokea sitokufa nitaishi tu HAKUNA JIPYA CHINI YA JUA
Pole sana na mitihani ya maisha simama na imani yako katika kumuomba Mungu akufa nyie wepesi ktk mitihani ya maisha ya mahusiano, lakini naona na wewe unatukana in reaction to minor provocations za wachangiaji, je ukiwa unaongea live ktk hasira inakuwaje, iwapo kwenye kuandika tu unashout hivyo pengine ni uchungu ulionao lakini siyo solution nzuri, kumbuka kuwa wanaume hawapendi kabisa kupandiwa kichwani na wanawake inaweza Kuwa wewe ndio chanzo cha hizo tabla zake za ajabu sasa kwani mlivyoanza sidhani kama alikuwa hivyo
 
yupo humu muda woteeeee sijui hata kama kazi anafanyaga ipasavyo maana ni addict wa JF kitu ambacho pia kinanikwaza mno...yani hapa si ajabu anasoma comments anasubiri kulianzisha home ha ha ha ha ha inabidi nicheke wallah si kwa chaka hili nililoingia.....yani maisha yake ni JF,Movie za kinigeria na sex mara 4 per day....yani kuna kipindi hata story tulikua hatuna. Kupigiwa simu nimeshasahau wakati zamani ilikua napigiwa simu hadi chaji inaisha lakini siku hizi wapiiiiii....mwanzoni nilijitahidi kuwa napiga badae nikaona upuuzi. Hata mwanzoni nilikua najitahidi naamka kumuandalia walau kasupu ka ndizi lakini kuna siku akaniambia yeye hana haja ya kupikiwa, yeye shida yake K.u.M.a TU! Basi na mie nikaacha, jana akawa analalamika simjali kama kala au lah! Lugha ya mapenzi hana halafu anategema nimfulie Boxers zake! siku hizi naziangalia tu
Heaven Sent njoo unisaidie kuhesabu wavulana addict wa jf hadi tumpate shemeji.
 
The Guy is in here for this long, uwiii, ataniua leo
Kwani ulikuwa hujui kuwa yupo humu? Na ulikuwa hujui atakufanya nini?
Kesho tuletee mrejesho series iendelee....ipe jina 'AYANDA'S FAMILY AFFAIRS'
 
Duh! Honestly nlipata umu m1 mtu ana 35 analazmisha mzae afu hatak kwenda home nkamwambia kwendraaaaa
Inabd tuwage makin maana ukijiona mpweke saana unaweza angukia pua
Pole mwaya

Jitu 35 alafu bado halijajitafuta. Hilo ni jipu.
 
Back
Top Bottom