TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

Ngoja ukome..! Kwanza u umpuuzi huwezi kugeneralize watu na kufanya mapenzi yafanane kwa watu wote, wewe na uzuzu wako tangu mwanzo kurukaruka unazaa kama mbwa hovyo, ukadhani kisa ana mtoto ndiyo umepata mengine yote pole ila kujisifia unamlipia karo yeye na mwanaye ndiyo ulete tambo hapa???

Hiyo karo si pesa ya miezi miwili kwake kama pango? Jiongeze unatendwa sababu unataka muwe sawa simply tuuh unachangia vijisent vyako..! Mwanaume bhana ata utoe kila kitu ndani lazima aheshimiwe.

hata sijaelewa ulichoandika...
 
Hayo ni maelezo ya upande mmoja na mwanadamu( hasa hasa mwananke) hujua sana kutunga hadithi ili aonekane anaonewa lakini naamini asilimia kubwa akipatikana huyu mwingine na kuelezea upande wake habari ni nyingine. Kuna wanawake wanajua kutesa na kusimanga watoto ambao sii wao na mwanaume akirudi anafanya maigizo kujifanya anawapenda ajabu sasa kama baba ni mkali kwa watoto wako na unauamini upendo wa kinafiki anaokufanyia mke wako , watoto watateseka sana

Yani nilipe ada, alipokua boarding darasa la saba tukienda kunuona mimi ndo wa kukumbuka kumnunulia vikuku na vichips chips, huyu mtoto hata mama yake mzazi sioni akihangaika kwakweli maana mama yake yupo na mumewe lakini mtoto hata nguo ni shida. Ada ndo kabisaaaaa yani sioni akihangaika kabisa yani ni kama vile amekufa pia. Mama wa hyu mtoto si ex wife.....hivi nihakikishe mtoto anapata kitafunio asubuhi kabla hajaenda shule...
hivi kuna unafiki hapo? Yani najuta kwakweli, mimi sijawahi sema anabagua wanangu hata pale anapotoa kipigo kikali kwa mwanangu mdogo huwa nachukia napotezea lakini sijawahi sema eti anabagua maana najua watoto ni wakorofi... Tatizo nadhani anamuona mwanae ni gold na ni special mno kitu ambacho si kweli.Yule ni mtoto kama walivyo wengine
 
Ukiwa mrahisi rahisi hata wengine watakuchukulia kirahisi rahisi...
 
Hao mimi naona, mwanamke anataka amwendeshe jamaa, jamaa anamdhibiti ndo chanzo cha mgogoro. MWANAMKE lazima atambue nafasi yake, ajue yeye ni Nani, halafu mwanamke anayepeleka maisha ya chumbani kwenye Mitandao, mmh! Naona waliowengi wanamsanifu Kwa maswali na bidada anafunguka tuu. HAPO MIMI NAONA JAMAA KAZI ANAYO.

Yani wewe unachekesha ujue! yani nisache kutoa ya moyoni humu nipasuke moyo kisa? sasa humu kuna atakayenijua tukikutana kwenye daladala au barabarani.....inaonekana jamaa anakutumia uje umtetee ......yani kama kuyatoa ya chumbani ni dhamb basi acha iwe ilimradi napata ahueni.
 
Yaani kwamajibu yako inaonesha nijinsi gani unamalengo nahuyo jamaa sema2 jamaa anazingua. Hapo kwenye kukuomba k kibabe ndio sijapafurahia kabisa yaani nibora angekuwa anakutia bao hizo 3 ila akawa anakuomba kistarabu ikibidi hata kukubembeleza kabisa nainawezekana alipoachana namke wake alikuwa ananunua machangu doa nandiomana bado anaendelea kutumia kauli zakibabe

upo hatua noja toka kwenye ukweli. Hii lugha chafu niliona mwanzoni lakini nilijua maybe ni jokes tu lakini pia nikaja kugundua ndio lifestly aliyokua anaishi na mkewe. Yani huyo ex wife wake ni matusi nje nje, kuna kipindi wakiwasiliana kuhusu mtoto wao mwingine huwa wanarushiana matusi kama wavuta bangi...huyo ex wake ni design ya wale wadada wanaotukana matusi kama "k.u.m.a.m.a.kO " mbele ya kadamnasi...yani sijazoea matuzi aiseee basi inaniathiri mno.
 
Duu pole sana mdada. Sasa unavumilia nini?? Na unasema kabisa jamaa alioa na wakatengana kididzaini not official, huoni kama unapoteza muda kukaa na huyo mbaba? Je ikitokea warudiana na mkewe?? Huoni kama utakua umepoteza wakati? Bora mkewe angekua amekufa. Mm nakushauri usepe huyo sio mumeo aliekuoa mkaapa mbele ya altare.

Hata mimi huwa naliwaza mno hilo suala, maana nahisi inaweza tokea siku akanifurumusha nje....Nachomlaumu ni kwamba, nilimsisitizia mno kwamba ayamalize na mkewe kabla hajamove on na mtu mwingine.... kidesign moyoni naona kama hatutafika mbali maana ni shida mno aiseeee....sasa why hakumbembelez mkewe arudi kama kweli she was that good. Naamini ningeweza pata mwanaume ambae hajawahi funga ndoa yeyote ile na ndicho alichoniambia mwanzoni maana alishapataga msichana mwingine humuhumu wakaa like 3 days lakini huyo dada alimkimbia baada ya kugundua jamaa ana ndoa halali kabisa. Yeye alijua labda jamaa alikua anaishi tu kisela na mwanamke kumbe alioa rasmi. Hata mimi mwanzoni nilijua huyo mwanamke alikua anaishi naye kisela tu kumbe ilikua ndoa rasmi. Hii kitu inanitesa mno aiseee maana naona kama vile natumika kupotezea mawazo tu then badae akishatulia anibwage ....lakini hata ikitokea sitokufa nitaishi tu HAKUNA JIPYA CHINI YA JUA
 
Sasa uwezo wako umeishia hapo nikusaidieje??
Mkuu hawa ni wale wasiotaka kukosolewa, Kwa hyo sisi tunaoangalia mambo Kwa jicho la tatu tunaonekana tumetumwa, ngoja tukae pembeni, kila mtu apambane na hali yake.
 
Ushauri wangu,usitarajie kupata mtu ambaye yuko perfect kama unavyotaka,mtengeneze wewe mwenyewe,ukikuta mtu anatabia unazozitaka wewe ametengenezwa na mtu.Standards dont just emerge they are created doll.Mtengeneze hadi awe vile unavyotaka,kama hasikii give him a break rudi kapange akiona anakuhitaji atakuambia.Usimpe notice jipange vizuri then siku moja jioni mwambie nahama naona this is not working out,tupeane break,hata akisisitiza ubaki mwambie no na simamia maamuzi yako,then time will tell.Ukienda kwa mwanaume mwingine utakuta matatizo ambayo siyo hayo ila utakuta mengine.

Nimekuelewa mno ndugu! Najua kabisa kitu kipya sio lazima kiwe bora zaidi kuliko cha zamani na ndio maana mie huwa si mtu wa kuondoka kwenye relationship mara nyingi huwa nabaki hadi mwisho kabisa....hata hapa nitaendelea kubaki kuona upepo unavyokwenda na mimi sitashindana na upepo nitaelekea kule upepo unapovuma. Kama kutakua na changes na mimi nitachange outomatically nitarudisha moyo nyuma kama hali itakua mbaya itakua ndo TAMATI
 
Bora ulivokua alone ivi hukujiuliza uyo mkewe alikimbia nin, maneno yatakuua mchane tu kua unataka kusepa, mwite ata balozi pengine akiona pengo lako atabadilika
 
Back
Top Bottom