TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

Haha kweli ningeweza kukusimulia story ya Lara?
Hamna bana, najua ni ndefu sana na hiki ndo kikwazo kwangu, sema nataka tu kujua huyo msomali alifanyaje? In a line or two, au naye ni mzee wa dozi nini?

BTW ntakupiga ohooo au ushirikiano na mimi hutaki tena?!
 
Hahhaa ushirikiano sitaki kwa kweli, labda kama unanitumia m-pesa
 
Pole

Ila soelewagi mwanamke unaanzaje kumhonga mwanaume??? Ni kuwa desparate au ndio mahaba niue???

Uwiii nonavyopenda hela yangu sas

Acha kujipendekeza

Toka hapo mimba kitu gani...umeweza kutunza watoto wote hao (including hilo toto jitu lizima ulilolilipia chuo) utashindwa wanao 3???
 
Back
Top Bottom