Tafuta pesa achana na mapenzi msemo mgumu kutekelezeka, naanzisha tena penzi jipya wazee

Sea Beast

JF-Expert Member
Aug 5, 2022
1,890
4,057
Twende kwa haraka,

Huu msemo wa "Tafuta pesa kwanza achana na mapenzi" au "Single na naenjoi" ni misemo ambayo in reality haitekelezeki, hakuna kitu kinaitwa tafuta pesa kwanza ndio ujihusishe na mahusiano nakwambia hio HUSTLING ndio utaiona ngumu zaidi kama unafanya job yako boda utakuja gonga gari za watu upate hasara zaidi.

Niliachana na Manzi miezi miwili iliyopita nimeona anaanza kunifanyia habari jau nikamkaushia nikapanga niachane na ishu za mahusiano kwanza hata miezi 6 nijiimalishe kiuchumi kwanza aisee sio rahisi hizi week naona kabisa mtu mzima huwezi kukaa pekeyako bila mpenzi.

Experience ninayoipata Sasa hasa ilifika usiku unaona Kama kichwa kizito, upweke nk unaona kabisa Kama unamzigo kichwani ambao dawa yake upate mtu ambae mtaongea akusikilize, atabasamu, aku-Hold huo mzigo utoke kichwani, kichwa kiwe FREE Kama kimefanyiwa REBOOT/REFLESH.

Marafiki, demu wakupiga tu(ngono)hua havisaidii kutoa mzigo huu kichwani bali yule mtu mliotengeneza bond ya mahusiano tu (Mpenzi).

Nishaanza kumseti Single Mother mmoja hapa, wale Team kataa Single Mother mtanisamee nadhani Team yangu kataa single mother mnanijua Mimi nilivyo Frontline katika hii vita ila ngoja bana niishi na huyu single mother she beautiful jana nilimfuta kuchukua namba nikamzuia kwa kumshika mkono ile response nipo tayari DP WORLD wachue bandari waniachie huyu Single Mother.
 
Dadeki
 
Unakwama wapi Mzee? Mbona issue ya kusaka Mabunda kwanza na kuachana na makopa kopa ni rahisi sana.
Labda kama shughuli zako unakua na muda mwingi wa kuwa free pia huchoki. Pia hujatafuta mbadala jambo la kufanya kama mbadala wa hayo mapenzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom