TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

Jamani eeh, wanaoongelewa ni wafupi. Sisi matoli hatuna noma. hayo matatizo ya uzeeni tutakutana nayo. Mzituzogezee matatizo yenu sisi. We are just fine. Yaani watu wafupi wameshaanza kutupakazia ma supatoli.

Unajua raha sana kutembea na mtu mfupi pembeni yako heehhee. Yaani anakuona kama bigi braza. Ila watu wafupi noma, wanaweza kuanzisha zali, wanajua supa toli utasave. Sasa sijui hawajui sisi watu wa kimya kimyaa, tunafanya mambo kistaarabu?

Halafu nyie ma supa shoti, mna mtindo wa ku-compensate urefu kwa kushika kiuno wakati mnaongea, sasa sijui kimawazo mkijitanua holizontally mnajisikia mmerefuka vertically?? Maana mkiona hampati attention ki-sauti kinapanda halafu mnaanza kuongea na mikono mkinyooosha juu...yaani mkono unanyoooshwa hadi usawa wa kichwa, basi hapo supa shoti anaridhiiiiiiika, anaona kunyosha mkono wake hadi usawa wa kichwa na yeye karefuka.

Halafu kunawengine wakichombeza wanaweka sauti inakuwa nziiito kama Berry White ili waonekane bonge la mtu. Kumbe kinjemba kina-compensate.

Bila ya wafupi maisha yangekuwa boring sana. Ila kwenye kukimbia vinajitahidi. We unapiga step moja, shoti anapiga tatu, lakini anavyozichanganya utafikiri Carl Lewis.
 
Ha ha haaa ufupi nao una faida yake. Je wewe na utolu wako wote huo unaweza tosha chini ya kitanda? Au kwenye ka wadrobe?

Ufupi una faida nyingi, moja utafiti uneonyesha kuwa actually short men are more protective kwa hivyo kina dada wanawapenda sana. eti in case of a scuffle with a taller man, kanyundo kanakuwa na mahali kwingi kwa kuescapiahuku kakitoa mangumi!! makubwa haya!

tena pia wankuwa very successful businessmen, kwa sababu wanzao warefu wanaingia katika michezo na mengineyo huku wafupi wakijijenga kiuchumi! pia their aggressiveness and confrontational behaviour inawapa advantage katika ulimwengu wa biashara.

top academicians also tend to be shorter than the avearge man!

there u go, the advantages outweigh the disadvs.
 
SteveD una mambo weye kijana!

Ila mwanamke mfupi aise noma......Nilikuwa na mshikaji wangu shortee sana...yaani it makes me feel like..what?

But zote ni kazi za muumba we have nothing to do about it....

Ila kwa uzoefu wangu, watu wafupi ni wabishi mnooo!!!!!!!!! (ofcourse na warefu ni wabishi..but wafupi...mmm!!)
 
Asante Shishi! Unajua utafiti wako una ukweli, kwa mfano, mabasketibola wengi watu wanao take care mambo yao (Financials, mawakili, madakitari) huwa ni wafupi kweli yani. Kwa hiyo utafiti wako unathibitisha kuwa wafupi wanachimba buku.....Well, with the exceptions of vijeba wengine kama mimi ambao tulikimbia umande..
 
Kweli hebu angalia wanabiashara wengi, huwa ni vifupi na vitambi vyao and they are stinking rich! ukiongeza upara kidogo baaaaaaaaaaaasi na zile suti zao checked!!!
 
Steve D

Ila kwa uzoefu wangu, watu wafupi ni wabishi mnooo!!!!!!!!! (ofcourse na warefu ni wabishi..but wafupi...mmm!!)

Wafupi wengi huwa ni wabishi mno kwa sababu they dont want to feel non-existent, they want u to not only feel but hear them, so ni njia mojawapo ya kucompensate for their deficiency in height. ni kama vile kilema yeyote , kama mabubu na viwete wengi wakali sana! atakutia mikwaju kweli akihisi unamnyanyasa.

hiyo ndiyo haswa niliyoiita 'short man syndrome'- wanakuwa very aggresive or loud to compensate for the shortness!
 
Sasa je kuna ukweli wowote (biologically) kwenye kuhusisha ufupi wa mtu na size ya baadhi ya maumbile yake?
 
.....vaa 'vistuli' a.k.a laizoni ili vikuongezee inch kadhaa. lakini kuna mademu wengine 'lofombo' wanazimia vijeba, check kama yule minimi wa austin powers ana bonge la demu yaani. derrick coleman nimeona juzi nae kaoa choposi ya kitasha safi tu, ingawa inamzidi urefu..............tatizo mademu wengine wana-correlate urefu wa mtu na ukubwa/urefu wa "dudu mende/mguu wa kati," ukweli ni kwamba, biologically hakuna uhusiano wowote hapo!!.

Kaka hiyo lugha mmmmmmmmh! Lofombo tena choposimara dudu mende I can't you!
 
Sasa je kuna ukweli wowote (biologically) kwenye kuhusisha ufupi wa mtu na size ya baadhi ya maumbile yake?

Nadhani kuna mahusiano hapo ingawa inawezekana statistically kusiwe na mahusiano kama ukiwa na sample kubwa, hivi mnataka niambia mbilikimo wana pipe kubwa? I can take that...wale lazima wana vidole vya mtoto mchanga, wakati mijemba mingine ina miguu ya watoto....
 
Unajua the fact kuwa ni wafupi kunakuwa na "inferiority complex" as a result wanahisi wanaonewa ndo maana kwanza always wako defensive,arafu wabishi na ni wakorofi kupita kiasi,niko naishi na mmoja wao akiraise hoja lazima ashinde ubishi ata kama hajui.

Kuna siku alisema akimpigia mtu wa Celtel sauti ya simu yake iko juu kuliko akimpigia mtu wa Voda nikamwambia simu yako ndo kimeo akabisha eti mitandao inatofautiana sauti.

Mbaya zaidi kakamua physics mpaka form four na ana "B".

Nikajagundua ni ufupi ndo wamsumbua
 
SteveD una mambo weye kijana!

Ila mwanamke mfupi aise noma......Nilikuwa na mshikaji wangu shortee sana...yaani it makes me feel like..what?

But zote ni kazi za muumba we have nothing to do about it....

Ila kwa uzoefu wangu, watu wafupi ni wabishi mnooo!!!!!!!!! (ofcourse na warefu ni wabishi..but wafupi...mmm!!)

kwahiyo unataka ku-imply kwamba MKJJ na MWK ni size ya emolo flani hivi eeenh!!?? maana wapo fit ktk hiyo dept ya ubishi.....
 
Nadhani kuna mahusiano hapo ingawa inawezekana statistically kusiwe na mahusiano kama ukiwa na sample kubwa, hivi mnataka niambia mbilikimo wana pipe kubwa? I can take that...wale lazima wana vidole vya mtoto mchanga, wakati mijemba mingine ina miguu ya watoto....

Ushirombo,
Mimi nyele zangu ni fupi na kipilipili. Yaani hata nisizinyowe kwa mwaka mzima, haziwezi kuwa afro. Pia kucha zangu ni fupi. Ninazungumzia sehemu ya kucha iliyo kwenye nyama ya kidole. Well, sijawahi kufuga kucha, lakini sidhani kama zingekuwa ndefu kama ningejaribu. Je kuna uhusiano wowote kati ya ufupi wa nywele na kucha zangu na ukijeba wangu?
 
HAHAhAh QM vitu vingine nadhani vihausiano kabisa na genetic ya mtu, na vingine inawezekana kabisa kusiwe na mahusiano ya moja kwa moja ndo maana ni vizuri ukaangalia mahusiano ya kitu kwenye jamii kubwa...ni kama watson aliangalia weusi wengi akajua majority ni vilaza, ingawa kuna weusi smart sana, kuna huyu jamaa huwa nina muadmire sana Ben Carlson ameandika vitabu vingi lakini hiki ni kizuri sana Think Big: Unleashing Your Potential for Excellence...
 
Ushirombo,
Mimi nyele zangu ni fupi na kipilipili. Yaani hata nisizinyowe kwa mwaka mzima, haziwezi kuwa afro. Pia kucha zangu ni fupi. Ninazungumzia sehemu ya kucha iliyo kwenye nyama ya kidole. Well, sijawahi kufuga kucha, lakini sidhani kama zingekuwa ndefu kama ningejaribu. Je kuna uhusiano wowote kati ya ufupi wa nywele na kucha zangu na ukijeba wangu?

sidhani kama kuna ushahidi wa nywele na ufupi, mfano mzuri ni 'andunje' Derrick Coleman keshaga wahi kuwa na afro!! sema nadhani kuna uhusiano kati ya urefu wa mtu na urefu wa 'mguu wa kati'!!
 
Hii habari imeletwa nusunusu na IPP...especially mazungumzo yanayohusu kina mama.

Utafiti wabaini kuwa wanaume wafupi wanawivu kuliko wanaume warefu

2008-03-13 16:31:25
Na EAR Habari

Utafiti uliofanywa na wanasayansi wa Kidachi, umebaini kuwa wanaume wafupi wanawivu mno kuliko wanaume warefu.

Watafiti hao wamesema kuwa wanaume huwa na wasiwasi dhidi ya wenzao wenye mvuto, matajiri ama wenye msuli, na hali hiyo huwatokea mno wanaume wafupi kuliko wanaume warefu.

Tafauti na wanaume, wanawake wao huwa na wivu kwa wenzao ambao ni wazuri na wenye mvuto, huku hali hiyo ikiwatokea wanawake wote kwa usawa bila ya kujali kama ni mrefu ama mfupi.

FYI

Short people are most prone to jealousy, say scientists

Wed Mar 12, 2:24 PM ET
PARIS (AFP) - Short people should pray for a return to the Seventies fashion of stack heels, for the power of jealousy depends on how tall you are, the British weekly New Scientist says.

Researchers at the University of Groningen in the Netherlands and University of Valencia in Spain asked 549 Dutch and Spanish men and women to rate how jealous they felt, and to list the qualities in a romantic competitor that were most likely to make them ill at ease.

Men generally felt most nervous about attractive, rich and strong rivals. But these feelings were increasingly relaxed the taller they were themselves. The more vertically challenged the man, the greater his feelings of jealousy.

For women, what counted most in jealousy was the rival's looks and charm, but these feelings were less intense if the woman herself was of average height.
This makes sense in evolutionary terms, says New Scientist, in next Saturday's issue.

Taller men are most successful with women, and women of medium height enjoy the best health, fertility and popularity with men.
On the other hand, a woman of average height could in certain circumstances fall afoul of the green-eyed monster if their rival were taller. "Taller women are more dominant and have greater fighting abilities than shorter women," says the study, which appears in the journal Evolution and Human Behavior.
 
...In addition, what height is considered short for men or what is considered short for women? Because if my memory serves me right, TZ was said to be one place that was reported to have shorter people than average. Na kama ni hivyo basi TZ kuna popln kubwa yenye jealousy people!
 
...In addition, what height is considered short for men or what is considered short for women? Because if my memory serves me right, TZ was said to be one place that was reported to have short people than average. Na kama ni hivyo basi TZ kuna popln kubwa yenye jealousy people!

Kisura,
Asante kwa hizo article mzuri.

Mimi nafikiri mwanaume yeyote ambaye yuko chini ya 5'8" ni mfupi. Kwa mwanamke, inawezekana chini ya 5'4".

Kwa Tanzania, ni kweli tulikuwa tusadikika kuwa ni wafupi by univeral average. Lakini sasa hivi naona teenagers wengi ni warefu. Pengine average yetu itakuwa a 1/2 a decade ijayo. Dizaini wazazi wengi wa kileo wanatilia mkazo watoto wao kunywa maziwa kwa wingi.
 
...In addition, what height is considered short for men or what is considered short for women? Because if my memory serves me right, TZ was said to be one place that was reported to have shorter people than average. Na kama ni hivyo basi TZ kuna popln kubwa yenye jealousy people!

.......basi na mimi naweza ku-derive toka hapo kwamba kwa maana hiyo basi kunaweza kukawa na uhusiano kati ya ufupi na UFISADI. Mfano mzuri ni Che Nkapa na wenzake, exception ipo kwa Karamagi!!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom