Tafakari ya 2010

Tall

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,425
165
Kuna uwezekano 2010 ulikwa mwaka mzuri sana kwako kimapenzi, HONGERA ulimfanyia mpenzi wako jambo jema sana.Lakini pia kuna uwezekano uliteleza na ukafanya usichokipenda au kutarajia .Kwa tafakari hii itakusaidia utende mema na kuacha mabaya 2011,na kwa wengine watapata fulsa kujua mema gani wengine huwafanyia wapenzi wao. MIFANO:
1. JEMA: Mwaka jana nilimpa mpenzi wangu zawadi ya kiwanja na alifurahi sana.
1: BAYA:NILIGOMBANA SANA SANA NA MPENZI WANGU BAADA YA KUHISI ANA MPENZI MWINGINE

AU
2: JEMA: Mwaka jana sija cheat kabisa
BAYA: Kwa mwaka mzima nilitamani sana sana nimegane na mpenzi wa rafiki yangu

jema au baya lipi unalikumbuka kwa mpenzi wako 2010?
 
:eek:

JEMA: Nilijiandaa kutimiza ahadi yangu kwa mpenzi kwa kuwa tayari kufunga nae ndoa

BAYA: Nilizubaa wajanja wakaniwahi wakammega akapata mimba:bump:
 
:eek:

JEMA: Nilijiandaa kutimiza ahadi yangu kwa mpenzi kwa kuwa tayari kufunga nae ndoa

BAYA: Nilizubaa wajanja wakaniwahi wakammega akapata mimba:bump:
duuuuh pole mkuu,waharibifu ni wengi sana duniani,mungu akubariki 2011 USIZUBAE na kumegewa.
 
Pole sana mkuu, sijui kwa nini hawa akina mama wanatufanyia hivi sisi wanaume wakati SISI NI WEMA SANA KWAO SIKU ZOTE.

Umenifanya nicheke jinsi unavyodanganya waziwazi!Eti nyie ni wema siku zote!!
 
JEMA: ni kumpa kibuti aliyekuwa wangu

BAYA; ni kusumbuliwa na upweke afterwards!
 
Jema:Nilimsaidia Exie wangu! Baya:Nilimsaidia Exie wangu! Najuuuta kumfahamu!
 
wangu alizinguliwa na mwanamuziki
Ohoooooo unaona???? kumpeleka muziki inakuwa taabu. ukimwacha homu kama pazia nayo tabu???? POLE MKUU.Nini cha kumfanyia mwanamke kikawa chema??????
 
Ohoooooo unaona???? kumpeleka muziki inkuwa taabu. ikimwacha homu kama pazia nayo tabu???? POLE MKUU.

dah demu alipewa simu akaongea na akina prof jizee na wengine akaona kaula
kamegwa afu akapigwa chini
 
Jema:Nilimsaidia Exie wangu! Baya:Nilimsaidia Exie wangu! Najuuuta kumfahamu!
hongera kwa msaada wako KWAKE endelea hivyohivyo 2011.............hata hivyo POLE KWA KUMFAHAMU.
 
Umenifanya nicheke jinsi unavyodanganya waziwazi!Eti nyie ni wema siku zote!!
kwani sisi ni wabaya????? ukitaka kujua sisi ni wema muulize tu jamaa yako KAMA NI MWEMA AU MBAYA JIBU UTALIPATA.
 
JEMA: nilivunja uchumba uliokuwa hauna mwelekeo

BAYA: nilichelewa mchakato muhimu sana katika maisha yangu kutokana na kuwa nje ya nchi
 
tatizo kaka muziki kazi yangu
ok,sawa mkuu,hata kama ni hivyo ni lazima uende nae muziki??????? Au unataka upolwe tena na mwanamuziki mwimgine????? Elewa kuna musician wataalamu wa kupora vya watu haipiti sekunda,demu wako keshapagawa, sekunde moja kosa. Wewe kazi yako itakuwa kulima wenzio wanavuna? Unalikubali hilo?????????????? Acha abaki homeee. Ataliaaaa weeee atanyamaza, atanunaaaa, mwisho atacheka. Mwisho wa yote atazoea.
 
Back
Top Bottom