TAFAKARI MPYA : Ali kiba ni mwanamziki Daimondi ni msanii

Ali kiba ana mzidi diamond sauti, kwa kweli hilo ni kweli
Ila sasa domo ana mzidi Kiba the rest, kama ifutavyo.
Composing/kutunga
Cariography/kupafom
Dressing/kutupia
Marketing/masoko
Management/menejiment

Communications/mawasilioano hasa matumiz ya mitandao na ku connect na washabiki

Exposure/domo kaiona dunia sehemu nyingi kuliko Kiba.

Domo kwa vitu alivo mzidi kiba ni vingi sanaa, na sio ajabu kwa kuwa hata barnaba, belle 9 na Ben pol na hata Jux wana mzidi mbali domo kwa sauti nzuri.

"Hivo Ali Kiba ni mwimbaji mzuri kuliko Domo ila siyo, msanii mzuri wala mwanamuziki(si ajabu wote si wanaamuziki wazuri pia) kuliko domo, kwa kuwa ili uwe msanii au mwana muziki mzuri kuna combined factors lazma ziwepo.

*wote wana fanya fresh lakin ndo uzuri
*haya ni mawazo yangu tuu, marekebisho yata pokelewa
 
Nimekusoma JIPU
 
Nimekusoma JIPU
Hahaha kwa nini Jipu!!?

Halafu nadhani mwanamuziki lazima ajue kupiga na vyombo kama gitaa, kinanda , saxafon , drum n.k.

Muimbaji-huyu ana toa sauti nzuri tuu.

Kwa hiyo wote hapo hata si wana muziki wazuri ila
Kiba-muimbaji safi
Domo-msanii fantastic, anatunga fresh na peformer mzuri.

*nadhani hapo nimejibu completely
 
Ali kiba ana mzidi diamond sauti, kwa kweli hilo ni kweli
Ila sasa domo ana mzidi Kiba the rest, kama ifutavyo.
Composing/kutunga
Cariography/kupafom
Dressing/kutupia
Marketing/masoko
Management/menejiment

Communications/mawasilioano hasa matumiz ya mitandao na ku connect na washabiki

Exposure/domo kaiona dunia sehemu nyingi kuliko Kiba.

Domo kwa vitu alivo mzidi kiba ni vingi sanaa, na sio ajabu kwa kuwa hata barnaba, belle 9 na Ben pol na hata Jux wana mzidi mbali domo kwa sauti nzuri.

"Hivo Ali Kiba ni mwimbaji mzuri kuliko Domo ila siyo, msanii mzuri wala mwanamuziki(si ajabu wote si wanaamuziki wazuri pia) kuliko domo, kwa kuwa ili uwe msanii au mwana muziki mzuri kuna combined factors lazma ziwepo.

*wote wana fanya fresh lakin ndo uzuri
*haya ni mawazo yangu tuu, marekebisho yata pokelewa
Umenena vyema
 
Kiukweli dimond ni msanii mburudishaji tu
Kiba ye ni mwanamuziki haswaa
Dimond anatoa nyimbo hazidumu wakati kiba anatoa nyimbo zinakaa sana masikioni mwa watu
AJE bado inatamba sana ukienda clubs kwenye studio televisheni lakini kidogo iliyotoka hivi karibuni ni kama imepotea bado aje inaenda sawa na waache waoane ya chege
 
r kelly alisema kibakuli ana saiti nzuri lakini ni ni mgumu kufundishika ajabu wanajenga majungu me najenga vibanda
(raaaaa),
wananitisha na kisu kumbe mi nna panga,
me nawomba mungu, wao hawaishi kuwanga,
 
Kiukweli dimond ni msanii mburudishaji tu
Kiba ye ni mwanamuziki haswaa
Dimond anatoa nyimbo hazidumu wakati kiba anatoa nyimbo zinakaa sana masikioni mwa watu
AJE bado inatamba sana ukienda clubs kwenye studio televisheni lakini kidogo iliyotoka hivi karibuni ni kama imepotea bado aje inaenda sawa na waache waoane ya chege
Vipi kuhusu lupela......na kidogo bado inakimbiza ata ukiangalia TV huwezi kuikosa sema unajitoa ufahamu iv.....tueleze kuhusu lupela ipo wapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom