dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 22,276
- 49,871
kabila linaingiaje hapo?
Tupe ushahidi huko jwtz kama general mwamunyange amefanya hivyo ili kuthibitisha uzushi wako!regionalizatin balance ni muhmu kaka kabila lazma liingie kwa ninavyowajua wanyakyusa ni watu wenye ukabila sana nina xprnce yao apa ofsn wanabeba ata kischobebeka full kuongea kikabila ofsn na kubebana bora wachaga wanabeba anayebebeka
Mkuu mimi kama ningekuwa bado polisi wewe na makamanda wenzako mngesota sana lupango kwa sababu nilikuwa sina huruma kwa vibaka
hasira zanini ndugu,mbona umekuja na lawama kemkem tatizo nini? huwezi changia bila kuweka ukabila? jaribu kukua kidogo basi eeeeeh.We umetumwa na nani? Nimeiona kwenye magazeti umeileta tena huku. Kumbuka Mwema alivyopatikana. Tanzania ina watu saafi nje wakitumikia mashirika ya kimataifa. Achana na ukabila. Tanzania ni zaidi ya shida zako. Unataka wote tuongozwe na asiyefaa kisa wa kwenu?
Nadhani kampeni zako zinamharibia badala ya kumjenga.
Kova apewe hiyo post