Tafadhari sana naombeni tafasiri ya hii

Duble Chris

JF-Expert Member
May 28, 2011
3,481
564
Leo mchana nimepata kitu kilicho nishutua sana kuwa eti mafisadi baada ya kuona account zao zita taifishwa nje/ndani wameamua kuzihifadhi pesa zao kwenye simu/laini ya kila mmoja wetu. Ambaye kuzitoa hizo pesa inakuwa ngumu/haiwezekani
Wakuu semeni ukweli wa hii issue

Piga namba hizi kwenye simu yako (nilijaribu voda)

*150*55# >>1 >>1

soma hiyo sms

kwangu inasomeka " The balance of your account is Sh. 800,000."

sina account ya m-pesa, tigo-pesa na zingine zote ...............sasa hii maana yake ni nini ?????

Je ni kweli ????
 
Ajabu kwangu nimepiga *150*55# ikaja kitu mbanking sijui future kisha nikachagua nikachagua balance check basi nikapata msg hii: a test account fot you has just been created on MBanking with a starting balance of Shs. 800,000
 
nami nimetest yamekuja majibu hayohayo
 
Back
Top Bottom