TaESA-TANZANIA EMPLOYMENT AGENCY. Hivi kweli wako serious au...

jebs2002

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
8,833
7,595
:embarassed2:Hivi hawa TaESA - Tanzania Employment Agency, Tanzania Employment Services Agency. Ukiingia kwenye website yao, utasikitika mno, hawaja post nafasi za kazi mbali mbali, hakuna post za nafasi za training, workshops hata guidance kwa jobseekers, ka website kako shallow kama website za mashirika na wizara zetu serikalini, nina uhakika mpaka Mh JK anawapa support kubwa tu, ila inasikitisha agency nyeti kama hizi zinavyoshindwa kuweka info za kutosha kwenye websites zao, jariburini muingie zile za DAWASA, TANESCO, TRA au BRELA! Mtaishiwa nguvu kabisa!

Inasikitisha sana wadau....
 
Usikute kuna mshikaji wa JK alikuwa hana job akaamua kumuundia iyo kitu.
Yaani uwepo wake sio meaniful kwa watz walio wengi
 
:embarassed2:hivi hawa taesa - tanzania employment agency, tanzania employment services agency. Ukiingia kwenye website yao, utasikitika mno, hawaja post nafasi za kazi mbali mbali, hakuna post za nafasi za training, workshops hata guidance kwa jobseekers, ka website kako shallow kama website za mashirika na wizara zetu serikalini, nina uhakika mpaka mh jk anawapa support kubwa tu, ila inasikitisha agency nyeti kama hizi zinavyoshindwa kuweka info za kutosha kwenye websites zao, jariburini muingie zile za dawasa, tanesco, tra au brela! Mtaishiwa nguvu kabisa!

Inasikitisha sana wadau....

nchi ishauzwa jombaa kama hujuani na mtu kuingia serekalin sahau na usamee
 
Nashukuru kwa baadhi yeenu kuona huu uozo! Labda wengine hawaathiriki!
 
Usikute kuna mshikaji wa JK alikuwa hana job akaamua kumuundia iyo kitu.
Yaani uwepo wake sio meaniful kwa watz walio wengi

Inawezekana pia, hatujui, na ndio maana ya katiba , raisi awe na kikomo, sio kila cheo yeye anachagua, labda TZ imebadillika na viongozi bado wanang'ang'ania yale ya zamani, je wataweza kuhimili? Au labda labda viongozi wetu wataogopa na kusiikiliza wananchi, ila ukweli tunaojua ni kuwa, hata uwabane wananchi kivipi, kama muda ukifika umefika! Na dalili tunazo, swala ni viongozi kuamka usingizini, na kukumbuka labda wamesahau majukumu yao, ila kweli watafanya hivyo?
 
Back
Top Bottom