Tabiri nini kitamkuta kijana huyu

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,946
3,624
14670788_1391019257576739_2885609958116110236_n.jpg

HADI HURUMA
14718811_461540487349926_3312300582330336739_n.jpg
 
Kitakachompata ni maamuzi ya mahakama baada ya kufunguliwa mashtaka na mwanasheria wa serikali.
 
umenikumbusha kuna siku kaka yangu alipaki gari ya kampuni nyumbani kwake.
bahati mbaya au mazoea ya kaka kupaki gari pale hadi asubuhi ili kuwahi kazini!siku hiyo ikaibiwa walioiba walidhani kaka atalala hadi asubuhi hivyo akiamka gari itakuwa imeshafika dar na imeshacharangwa!mungu ni mkubwa sana hakukaa mda mrefu akatoka na kukuta gari haipo cha ajabu aliilock na funguo zote anazo!
alichanganyikiwa asijue la kufanya alijikuta anaitafuta gari chumbani alipolala.
mimi nikapiga hesabu kwamba ni saa moja limetumika hiyo gari kuibiwa hivyo kama umbali imefika basi ni njia panda au same!
nikampigia simu askari wa doria mwenye gari na kumpa ufahamu wa gari iliyoibiwa ila nilikisea plate namba moja!
askari akaniambia hiyo gari imepita ngoja waifatilie.waliipata cha ajabu iliweza kupita barrier zote sababu jamaa aliekaa kushoto alikuwa akitoa kitambulisho chake cha polisi na kupita beria zote!
walimkamata yule askari hewa na gari na walimpiga kwa kuichafulia dola sifa.askari alikuwa mwizi na walimpa displini sana.
hadi anafikishwa kituoni ameoza na alichukuliwa hatua stahiki
 
mateso ya kipigo atakayopata huyo ni kuzidi ya yale skopioni aliyompatia yule jamaa inaediwa baadae alimpofua macho.
 
umenikumbusha kuna siku kaka yangu alipaki gari ya kampuni nyumbani kwake.
bahati mbaya au mazoea ya kaka kupaki gari pale hadi asubuhi ili kuwahi kazini!siku hiyo ikaibiwa walioiba walidhani kaka atalala hadi asubuhi hivyo akiamka gari itakuwa imeshafika dar na imeshacharangwa!mungu ni mkubwa sana hakukaa mda mrefu akatoka na kukuta gari haipo cha ajabu aliilock na funguo zote anazo!
alichanganyikiwa asijue la kufanya alijikuta anaitafuta gari chumbani alipolala.
mimi nikapiga hesabu kwamba ni saa moja limetumika hiyo gari kuibiwa hivyo kama umbali imefika basi ni njia panda au same!
nikampigia simu askari wa doria mwenye gari na kumpa ufahamu wa gari iliyoibiwa ila nilikisea plate namba moja!
askari akaniambia hiyo gari imepita ngoja waifatilie.waliipata cha ajabu iliweza kupita barrier zote sababu jamaa aliekaa kushoto alikuwa akitoa kitambulisho chake cha polisi na kupita beria zote!
walimkamata yule askari hewa na gari na walimpiga kwa kuichafulia dola sifa.askari alikuwa mwizi na walimpa displini sana.
hadi anafikishwa kituoni ameoza na alichukuliwa hatua stahiki

alitafuta gari chumbani?
 
Wengine ni wagonjwa wa akili jamani. Mental services kweli zipo hapa kwetu au watu wanasubiri mpaka uokote makopo ili upelekwe Mirembe?
 
Huyo kijana hadi anafikiria kuvaa nguo hizo inaonekana ni mshamba tu, nguo zenyewe hazina ishu na hata hazivutii kitaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom